Recent content by Maji Ya Ugoko

  1. M

    JamiiForums Tanzania NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

    Hii kitu ni kweli imefikia hatua staff wa nssf anaenda na kofia balakashia monday to friday na wengine suluali fupi . Kwa miaka zaidi ya mitano nimeona mengi .ndio mana mifuko mingine mipya kama pspf inasonga kwa spidi lkn nssf ya miaka mingi inasuasua
  2. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

    Kama JK ambaye ameanguka publicly zaidi ya mara mbili ameweza kumaliza almost 10 years ya utawala (MBOVU) itakua EL. .
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

    Kama rais ambaye ni amiri jeshi mkuu na kiongozi wa nchi anaogopa kutaja jina la huyo wanamwita fisadi,sidhani kama kuna mtu akuja kumshitaki.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli is a loose canon

    CCM wote wanapoongea na wananchi wanadhani wanaongea na watoto wa shule . Watu hovyo sana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha wake za watu kuchepuka

    sababu kubwa ya mke kuchepuka ni wewe mume ukose pesa . Fanya kazi uwe na pesa mtimizie mahitaji yake yoote full stop .
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Kama wanakata umeme basi bora they it official btn now and octoba kutakua na mgao mkali.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya habari channel ten ina lengo la kuchafua nchi

    Kuna usemi wa kizungu kua "everybody has a price".kwa akili ya kusikia tu utajua ile taarifa ni tangazo kama matangazo mengine kama ofa za sabasaba
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Mtanzania wa BBC arudi kujiunga na Azam TV

    Uko third world country unataka first class world tv....?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Mtanzania wa BBC arudi kujiunga na Azam TV

    Azam anafikiria market ya east africa sio hapa bongo tu. Viable investment
Back
Top Bottom