Chanzo cha wake za watu kuchepuka

Chanzo cha wake za watu kuchepuka

sababu kubwa ya mke kuchepuka ni wewe mume ukose pesa . Fanya kazi uwe na pesa mtimizie mahitaji yake yoote full stop .
 
Unakuta mmekaa uchumba miezi au miaka.Mmezaa na ushamzoea sana hata nice treatment and caring zinapungua.

Sasa akitokea mburula fulani akamtreat vizuri na kumcare hapo lazima mkeo amegwe kisela.

Muwatreat wake zenu nyie viraza mlio kwenye ndoa au uchumba la sivyo mtagongewa.

Unless wewe ni mwanamke na hii ndio tabia yako!Cheating ni tabia haijalishi umeolewa kwa ndoa au mmechukuana tu!Wazazi wetu wengi tu enzi hizo hakukuwa na hizi ndoa, wamefunga uzeeni na mama zetu hwakuwa wachepukaji kama ilivyo leo!Hizi ni tamaa na sio kwa sababu eti hajafunga ndoa!Mwanamke wa namna hii ni hatari zaidi ukifunga nae ndoa
 
Back
Top Bottom