Recent content by Majestic wolf

  1. Majestic wolf

    January Makamba anastahili kujiuzulu, anaowabebesha mzigo hawana kosa

    Kwa hili la umeme tulimvumilia alivyosema scheduled repair ila sasa imekua too much. Brother Makamba fanya kitu Cha kuonekana laasivyo ...you are loosing credibility Kwa waTZ wa kawaida huku
  2. Majestic wolf

    Anayefahamu kanisa zuri lenye sifa zifuatazo, anijulishe nijiunge tafadhali

    Based on those criteria Tanzania Assemblies of God might be a good fit. Nasema hivyo nikiwa muumini wa RC
  3. Majestic wolf

    Clone ipi ya Creed Aventus kali na unayoikubali?

    Club de Nuit intense ni kama Aventus. Only pros in fragrance might notice the difference
  4. Majestic wolf

    Maandamano yaendelea kushika kazi Afrika Kusini kufuatia kukamatwa kwa Jacob Zuma

    Labda una Nia nzuri ya kufikisha ujumbe fulani ila mfano uliotumia sidhani kama unafit. Wasouth wanashida nyingi sana na wakipata chance tu ya kuloot na kufanya vurugu, they take it. Haohao wanaoandama kwaajili ya Zuma ndio haohao kipindi yuko rais walilalamika anawazingua. Vurugu za South ni...
  5. Majestic wolf

    Ubaguzi umezidi, hamu ya kurudi nyumbani inanijia kwa kasi

    Nna jirani yangu kila tukipishana anapandisha barakoa mbili juu [emoji23][emoji23]. Na supermarket ukitoa noti kubwa lazima cashier aikague kama sio counterfeit
  6. Majestic wolf

    Nani anatoka Marekani kuja kutibiwa Tanzania?

    Labda ni awe au wawe Wamarekani ambao tayari walikuwepo Tanzania [kwa sababu yoyote ile] halafu wakapatwa na matatizo ya moyo ndo wakapelekwa hapo kupata matibabu. Hichi ndio sahihi. Kuna raia wakipatwa na shida wakiwa TZ, sio kwamba walifunga safari kutoka US kuja huko Ngumu kuamini….
  7. Majestic wolf

    China ndiyo nchi pekee duniani iliyofanikiwa kudhibiti gonjwa hili la COVID-19 kwa kiwango kikubwa, timu yetu ya Corona ifanye ziara China

    Israel nayo ni Kati ya nchi zilizodhibiti COVID kwa kiasi kikubwa. More than 70% ya population yao iko vaccinated enough to induce herd immunity. Maisha yamerudi kama kawaida, ruksa kutovaa mask sehemu za wazi.
  8. Majestic wolf

    Majuto ya P Funk Majani yanatufundisha nini Vijana ambao hatujaoa?

    Nimejifunza mengi mkuu asante. Kwa anaesoma hii thread halafu anajipa moyo kwamba huyo mwenza wake atabadilika, acha tu hayo mawazo. Kuna baadhi ya tabia ni kama ngozi
  9. Majestic wolf

    Hospitali ya Mzena inamilikiwa na nani? Kwanini iitwe Mzena?

    Ipo kijitonyama na ndo hio mzena. Inatibu sanasana watumishi wa idara
  10. Majestic wolf

    Uchaguzi 2020 Shinyanga, Umakini unahitajika

    Hii kasumba ni mbaya sana. Pia nadhani ni wakati nyie wenye asili ya "kitanganyika" kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi pia tafuteni hela kwanza ili msije kulalamika mnaonewa. Lala chief mda umekwenda kweli kweli
  11. Majestic wolf

    Polisi waagizwa kuwakamata wanaofunga ving’ora na vimulimuli kwenye magari

    Honi za fuso[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Unapisha kumbe bodaboda na kiduku chake anapita
  12. Majestic wolf

    Ni maeneo gani kwa Morogoro mjini ni mazuri, tulivu na salama kwa kuishi?

    Kama wewe ni mtu mwenye Uwezo basi tafuta maeneo ya Forest huko. Kama wewe sio tajiri na wala sio maskini yaani uko middle income flan ivi bas tafuta mazimbu, bigwa, falkland, kihonda kilimanjaro, lukobe, area 5 etc Kama wewe ni wa kipato cha chini basi tafuta mwembesongo, mafisa, mji mpya...
  13. Majestic wolf

    Classic men dressing

    Chief uko poa. Ila mara nyingi inapendeza rangi ya mkanda ikaenda sambamba na rangi ya viatu.
Back
Top Bottom