Recent content by Majembe majembe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Karibu uone makala ya miaka minne ya Mbunge Hussen Bashe jimboni kwake Nzega Mjini

    Kuhadi mheshimu maana unaweza kosa mkeo kuhadi anaweza kuja mkuhadia mkeo kwa jamaa uko nje jamaa wakaanza piga mke wako ukamkosa mkeo sasa wewe endelea mchukia kuhadi alafu akujue unakosa mke
  2. M

    JamiiForums Tanzania Karibu uone makala ya miaka minne ya Mbunge Hussen Bashe jimboni kwake Nzega Mjini

    Piga kazi mh mbunge, hakuna wakukutoa nzenga ulichotuahidi unatekeleza wananzengo tunaimani na wewe wala usiwaze mh jimbo lako tena miaka mitano ijayo tunakupa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI Halmashauri ya mji Nzega itaharibu uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Mpaka leo Waandikishaji Wapiga Kura hawajalipwa

    Na hii yote wanajifanya wateule wa mh kwaiyo hawamuogopi kabisa wanapiga wakijua mh rais ananijua kwaiyo hawana aibu yani halmashauri upigaji ni wakutisha
  4. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI Halmashauri ya mji Nzega itaharibu uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Mpaka leo Waandikishaji Wapiga Kura hawajalipwa

    Nawaonea huruma sana mnaodai hiyo halmashauri ishaoza kwa upigaji hizi pesa zimeliwa Watu wa BVR wameanza kuboresha daftari tarehe 14 wamemaliza jana leo wamelipa pesa zao hawadai hata senti nyie mmeanza zoezi tarehe 8 kabla ya BVR hamjalipwa unafikilia nini😀😀 zimepigwa hizo pesa wamelipa watu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mdeni wangu kanilipa asilimia 78 ya deni langu, mda bado ila kaanza kusua sua kumalizia deni je naweza kurudi tena mahakamani

    Makosa ya kiuandishi kiongozi niwie radhi nimerekebisha, Hapo umesema muhimu kalipa asilimia 50 je mahakama inaweza nigomea kushika Mali yake kisa kavuka asilimia 50 naomba msaada wako, maana nohofia kurudi mahakamani mdaiwa akasema kabanwa na majukumu apunguziwe kiwango cha marejesho ikala...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mdeni wangu kanilipa asilimia 78 ya deni langu, mda bado ila kaanza kusua sua kumalizia deni je naweza kurudi tena mahakamani

    Ninamdeni wangu nilikuwa namdai nikamua mpeleka mahakamani ili anilipe deni langu tukakubaliana kimandishi mbele ya hakimu kuwa atanilipa deni langu ndani ya mwaka mmoja Kweli kipindi cha marejesho mdeni wangu amekuwa akilipa deni lakini tangu awali analipa mwezi wa kwanza alilipa kiwango chini...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Unafanyaje unapogundua ulipewa urithi na mzazi mlezi ila familia ilificha usijue

    Lengo langu nikupata mawazo je na haki ya kuchukua hiyo Mali au hapana
  8. M

    JamiiForums Tanzania Unafanyaje unapogundua ulipewa urithi na mzazi mlezi ila familia ilificha usijue

    Habari zenu wadau Niende moja kwa moja kwenye hoja miye nilizaliwa na mama yangu ila nikiwa bado mdogo wa miezi miwili baba yangu mzazi akafariki uyu baba yangu mzazi hakuwa na ndoa na mama Kwaiyo mama alipata mwanaume mwingine badae ambaye nilimwita baba baba kwakua tulikuwa tunaishi nyumba...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye kizibo cha injini ya pikipiki cha cocacola tuwasiliane

    P Pouwa pouwa mkuu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye kizibo cha injini ya pikipiki cha cocacola tuwasiliane

    Ongea mdau unataka shilingi ngapi?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye kizibo cha injini ya pikipiki cha cocacola tuwasiliane

    Natafuta mtu mwenye kizibo cha injini ya cocacola ili tukamilishe pikipiki kamili maana miye ninacho cha taili la mbele na nyuma bado injini tu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mwalimu aliyeajiriwa na serikali mwenye nyumba ya milioni 100?

    mwalimu funguka walimu wanamiliki zaidi ya hizo nyumba ya milioni mia moja nakusihi kuanzia sasa badilisha mawazo amini salary yako ni dhamana usikope laki laki uende nunulia familia chakula kopa pesa nyingi ufanye mambo Tatizo nyie walimu wengine bwana mtu anadegree moja kajiriwa baada atulie...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa mtu aliyesoma kozi ya Bachelor of Education with Philosophy

    Tunashukuru kwa mwitikio mzuri tuliowaitaji washapatikana asanteni sana
Back
Top Bottom