Majembe majembe
Member
- Oct 16, 2016
- 34
- 10
Tunashukuru kwa mwitikio mzuri tuliowaitaji washapatikana asanteni sana
Hivi Tanzania kuna chuo kinachotoa Bachelor of Education with Philosophy kweli.....!!
Nijuavyo wanaosoma Bachelor of Education huwa wanachagua somo moja la kufundishia kwa mfano History,Chemistry, Kiswahili,English Language n.k ila sio Philosophy kwani Philosophy ni kozi kamili iliyokamilika kama ilivyo kwa Political Science au International Relations.
exactly hataa waliosoma political science hiyo philosophy unasomaa tu mwaka wa kwanzaa education wanasoma kama optionHivi Tanzania kuna chuo kinachotoa Bachelor of Education with Philosophy kweli.....!!
Nijuavyo wanaosoma Bachelor of Education huwa wanachagua somo moja la kufundishia kwa mfano History,Chemistry, Kiswahili,English Language n.k ila sio Philosophy kwani Philosophy ni kozi kamili iliyokamilika kama ilivyo kwa Political Science au International Relations.
Asante kwa ufafanuzi mzuriBAPHIL- ED SAUT, Mwanza; Bachelor of Philosophy with Education
Tatizo hampendi kuuliza na kutafuta mambo.... Mengi yatakupitaHivi Tanzania kuna chuo kinachotoa Bachelor of Education with Philosophy kweli.....!!
Nijuavyo wanaosoma Bachelor of Education huwa wanachagua somo moja la kufundishia kwa mfano History,Chemistry, Kiswahili,English Language n.k ila sio Philosophy kwani Philosophy ni kozi kamili iliyokamilika kama ilivyo kwa Political Science au International Relations.
Asante ndugu watu walishaanza kutengeneza ma assumption yako ya ajabu ajabu humu ndaniBAPHIL- ED SAUT, Mwanza; Bachelor of Philosophy with Education
Kipo mkuu Jordan cha Moro wanafundisha hiyo koziHivi Tanzania kuna chuo kinachotoa Bachelor of Education with Philosophy kweli.....!!