Recent content by majebsmafuru

  1. majebsmafuru

    Natafuta mchumba wa kike

    Naja FASTA kama kipepe!
  2. majebsmafuru

    PostGE2025 Mwigulu Nchemba: Aliyehamasisha vurugu za Oktoba 29 amekiri kuna taifa limemsaidia

    Huyu naye?! Hatuna maji na jua kali hili, bidhaa bei mbaya, UFISADI wawa tishio, miundo mbinu yasua sua, uwajibikaji serikalini hakuna, matumizi mabaya ya serikali yanatuumiza yeye yuko na kina mange tuu?! Bogus kabisa kabisa kabisa 🤬😡😠😤
  3. majebsmafuru

    Natafuta mchumba wa kike

    Roho mbaya kama mama samuya! Khaa...!
  4. majebsmafuru

    Natafuta mchumba wa kike

    Awe kuanzia 25 mpaka 50. Mwenye biashara zake au kaajirawa. Dini yoyote, kabila yoyote. Mimi mfanyabiashara. Niko 50+ Karibuni warembo
  5. majebsmafuru

    PostGE2025 Tanzania inahaha kutafuta mshawishi 'Lobbyist' kwa Bunge la Marekani ili kujisafisha na mauaji yaliyotokea

    Hawa watu WAROHO, WABINAFSI, mafisadi, wakatili... Hawana time na raia, kero zote nchini wao hawana time?! Kodi zetu na hela za taifa wako tayari kuchoma huko?! Tumefikia pabaya sana sana... FURSA KWA MA LOBBYIST...
  6. majebsmafuru

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Eze tayari anaijuwa PL. Rodrigo mpaka azoee kazi ipo!
  7. majebsmafuru

    Samia amebaki na wakina nani serikali mbona kituko?

    Na mzee wa kufoji vyeti, Tarimba!
  8. majebsmafuru

    Warning: Utapeli wa kikundi wanajiita Mo Dewji Foundation

    Nawapa tahadhari wadau wenzangu humu, kuhusu jamaa wanaodai wanaotoa mikopo kwa kutumia jina la MO FOUNDATION. KWA KIFUPI. NI MATAPELI NA MTATAPELIWA KAMA MIMI. Website zao. https://mohamedfoundation.site/ USIDANGANYIKE, INAFUNGUKA MPAKA WAENDA KUJAZA FORM, KUINGIZA NIDA NA VITAMBULISHO VYOTE...
  9. majebsmafuru

    Kauli tata za RC Chalamila kwenye matamko mbalimbali nchini

    Toka awe mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, mh. Albert Chalamila amekuwa akitoa kauli tata sana sana sana... Ebu tuziorodheshe... Mnikome kama mlivyokoma maziwa ya mama zenu! ..... Tuongezee...
  10. majebsmafuru

    Ufanyapo usafi nyumbani, usipookota hata Tsh. 100 ujuwe ufukara unapiga hodi!

    Watakiwa kuokota shs 100, 200 hata 500. Sasa waburuza fagio kwa mbwembwe na siajabu kudeki kabisa halafu huokoti chochote basi ujuwe kazi unayo! Mnasemaje wadau
  11. majebsmafuru

    Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

    This is Bongo! Hahahahahaha.....akili zetu ni janga!
  12. majebsmafuru

    Tetesi: TBC hakukaliki, muda wowote Zuhura Yunus anakuja na mkeka!

    TBC wanadhani kuwa MACHAWA ndio guarantee ya ya matumbo yao! WANAKINAISHA MATANGAZO YAO! HAWAKO RATIONAL WAKUMBUKE NI CHOMBO CHA HABARI CHA TAIFA NA SIYO CHAMA TAWALA! MIFANO IPO. WAIGE BBC CNN CBS NK NK
Back
Top Bottom