Recent content by Majanga90

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wakati wa mimi kusema umefika

    Miaka yote umekaa kimya bila kuongea huo unaosema ni ukweli....baada ya kupewa mlungula na mzee Dialo leo unajifanya unajua na utaongea ukweli,SUBIRI HUKUMU YAKO WEWE NA MAGAMBA WENZIO,SHAME ON YOU.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona vijana wa Mzumbe na Ardhi wakifa njaa mtaani

    Nna mashaka na elimu ya mtoa mada
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

    Habibu Mchange kapanic huyo dogo sana kwenye siasa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

    endelea kusubiri hizo ndoto.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

    Hawa Startv nao hawajielewei......Mnyika on air.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

    Chadema ni smart sana hawawezi kumuogopa mtu kama Mchange maana ni kagamba ka mjusi tu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

    Hakuna haja ya kubishana na mfu na mtu asiyejielewa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Vituo vya daladala vyenye majina ya ajabu

    Kwa ndevu-Tegeta
  9. M

    JamiiForums Tanzania EGM,HGE,PGE na ECA

  10. M

    JamiiForums Tanzania EGM,HGE,PGE na ECA

    BRN hiyo kaka ni comb mpya hiyo na masomo hayo uliyoyataja
  11. M

    JamiiForums Tanzania EGM,HGE,PGE na ECA

    Kwa wanafunzi wote mnaosoma hizo combination tatu au una mwanao anasoma mojawapo kati ya Comb hizo,tunatoa private tuition kwa ubora wa hali ya juu na kwa bei nafuu sana....Hii ni special kwa wale mlioko Dsm tu na utafikiwa popote ulipo.Mwenye uhitaji ani PM kwa maelezo zaidi.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Shimo limetema watu wa SUA ela ya field imeingia

    Duce Crdb kimetema mida ya saa 11 but NMB na wengine bado hatuapata
  13. M

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa boom na Crdb

    sometimes inatokea ina range one day kaka but hiyo five days inabore sana. Mfano watu wana hela za field but cc wa bank nyingine ni majanga bado
  14. M

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa boom na Crdb

    chuo gani mkuu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa boom na Crdb

    Tangu niingie chuo naona luna uhusiano mkubwa san kati ya hii bank na loan board. Hii ni wazi kwa sababu watu wa Crdb hutangulia kupata hela kuliko bank nyingine but inabore pale transactio inavyochukua hadi week wengine kupata hiyo hela. Hivi ni kweli board huandika cheque za Crdb tuuuuuuuu ? I...
Back
Top Bottom