Recent content by majaar

  1. majaar

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwakyembe,unataka kutumbuliwa? Take care!

    Kwa hiyo Tundu kashaguliwa kuwa rais wa TLS?duuhh hii miccm inamuogopa kamanda Lissu inaweweseka tu.
  2. majaar

    JamiiForums Tanzania Safari ya kuhamia Dodoma Feb 2017 kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu wote bado ipo?!

    Mmmhh sijui maana hii sirikali ni mwendo wa kukurupuka tu.
  3. majaar

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Dr. Magufuli kukiuka agizo la Rais, kufanya mkutano Kahama

    Wewe na nani?
  4. majaar

    JamiiForums Tanzania Prof. Ndalichako: Kiama kinakuja wanaotumia vyeti feki makazini

    Umesahau na walimu kupanda basi buree!!!
  5. majaar

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Mwenyekiti wa chama pinzani hawezi kumpa kijiti mtu mwingine?

    Kumbe uongozi ni kurithishana sio demokrasia ifate mkobdo wake kwamba nafasi itangazwe ili wenye vigezo waombe,duuhhh kweli nyani haoni kundule.
  6. majaar

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais Magufuli nimekukubali, hausafiiri nje lakini mambo yanaenda

    Yes it could be better place for vilaza's not for brave ones.
  7. majaar

    JamiiForums Tanzania Sakata la kuficha hela ughaibuni: BoT yamkana Mbowe, Kufungwa miaka 14?

    Ndio maana UKAWA walisema kipaumbele cha 1,2,3 ni elimu, elimu,elimu ungekuwa na elimu usingeleta huu upuuzi huku jamvini.
  8. majaar

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo amerudi na mgawo wa umeme, dalili ya pili

    Acha upuuzi wewe upo Songea halafu unasema hata dar najua umeme upo, punguza ujinga nimeongea na mtu wa manzese huko huko Songea sasa hivi kasema umeme hakuna.
  9. majaar

    JamiiForums Tanzania Lembeli apinga matokeo Mahakamani

    Aliyefungua kesi kumpinga lissu hela zinamuwasha awaulize wenzake hawana hamu na mwanasheria nguli kama asemavyo Anna Makinda.
  10. majaar

    JamiiForums Tanzania Halima Abdallah Bulembo, Mbunge mdogo kuliko wote Bunge la kumi na moja!

    Shule za kata hizi hata kuandika hujui duhhh kweli bora elimu na sio elimu bora!!!!!
  11. majaar

    JamiiForums Tanzania VIDEO: UKAWA Wazuiliwa Kushiriki Cocktail Party; Ni Baada ya Kutimuliwa Bungeni

    Dada Hamida a. k. a Hamy D punguza mihemko dada
  12. majaar

    JamiiForums Tanzania Magufuli, viongozi wote wa UKAWA wafilisiwe

    Na kwa kuwa serikali ya UKAWA ilinunua kivuko kibovu mv dar es salaam basi wahusika wote wafikishwe mahakamani kwa ufisadi maramoja.
  13. majaar

    JamiiForums Tanzania Kwenye Jamhuri mengine hayawezekani, Tundu Lissu anafahamu pia

    Hiyo id yako ibadilishe jiite "kupe" ili ujitambulishe kuwa una akili fupi kama za kupe.
  14. majaar

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Edward Lowassa awe Mwenyekiti wa CHADEMA

    Kila chama kina kanuni na taratibu zake haiwezekani tu ukakurupuka eti umpe Fulani cheo,je katiba yao chadema inasemaje kuhusu ukomo wa madaraka?
  15. majaar

    JamiiForums Tanzania Mbowe, ni wakati wa fikra mbadala

    Mtahangaika sana na bado
Back
Top Bottom