Waziri Mwakyembe,unataka kutumbuliwa? Take care!

Waziri Mwakyembe,unataka kutumbuliwa? Take care!

Hapo kabadili gia angani tunavyo endelea kujadili yake tunasahau ya makonda atakavyo kuja mwingine na vihoja tutasahau ya mwakyembe ccm ni mabingwa wa kubadili mchezo
 
Hii post ya kipuuzi. Moods futeni kwanza ni ya kichonganishi pili haina logic tatu ni yakitoto nne ni mada kama za kwenye vijiwe vya kahawa.
Sometimes sio kila kitu lazima uchangie....
 
Kwa wasiofahamu,Waziri wa Katiba na Sheria,Dr. Harrison Mwakyembe ndiye Godfather wa Mkuu wa mkoa wa Dar,Paul Makonda. Hawa,wanafanana kwa matendo na maneno yao. Hawana breki katika kusema au kutenda

Like father,like son. Ametoka mwana,ameingia baba. Waziri Mwakyembe sasa anatamka vya kuichora Serikali kama ya udikteta. Kwanza,alisema hakuna Sheria inayokataza mikutano ya siasa baada ya uchaguzi. What does it mean? Hajui kuwa Rais amesema siasa hadi 2020?

Jana,Waziri Mwakyembe ametishia kuifuta Tanganyika Law Society(TLS). What does it mean? Anataka kuchora mchoro wa udikteta wa Serikali? Kwa faida ya nani? Namsihi Waziri Mwakyembe aende taratibu. Awe na breki na jeki.

Kama anataka kutumbuliwa aseme. Asipokaa kimya,tunaomfahamu tutavunja ukimya!

Mwafaaa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Vunja Ukimya,uncle.Maana naona ametuingilia mpaka kwenye sehemu nyeti
 
Kelele za Mwakyembe kuelekea TLS dhidi ya Lissu zinaonekana kama zinaongeza uwezekano mkubwa wa Antipus kukaa kwenye kiti tajwa.

let's wait and see...
 
Yaan huyoo babu is the hypocrite kapoteza regacy yake kabisa kwa kweli kisa tamaa ya uwaziri
Nakushauli jiuzuru tu kulikoni ku serve under this Junta regime’s
Sijuwi utakuja kutuelezea nin watanzania wewe, [emoji355] times coming soon [emoji776]
 
Back
Top Bottom