Ndugu wanabodi tujikumbushe lile tamko/ratiba ya Serikali ya kuhamia Dodoma iliyotolewa na PM Majaliwa kuwa ifikapo Mwezi Februari 2017 Mawaziri na Makatibu wakuu wote wa Wizara watakuwa wamekwisha hamia Dodoma.
Sasa ni mwezi Januari 2017 je hiyo safari bado itakuwepo au lilikuwa tamko tu; mlioko Mawizarani tupeni update za maandalizi ya safari ya Dodoma kama ipo.
Sasa ni mwezi Januari 2017 je hiyo safari bado itakuwepo au lilikuwa tamko tu; mlioko Mawizarani tupeni update za maandalizi ya safari ya Dodoma kama ipo.