Tulizea marais wa awamu ya pili na ya tatu kutembea duniani eti kushawishi wawekezaki waje wawekeze bongo lakini wewe umekaa tu ikulu tuliyokukabidhi wanaotaka kuwekeza wanakuja wenyewe unaongea nao, na pengine bila kukushurutisha mnakubaliana maeneo ambayo wanataka wawekeze. Mnakubaliana kisawasawa bila mwingine kumnyenga mwenzie halafu mnatiliana sahihi.
Mheshimiwa uliwahi kusema Tanzania siyo ya kuomba msaada bali Tanzania ni ya kutoa misaada (donor country) hasa tumeanza kuona ulikuwa na maana gani.
Pamoja na kuwa umeonyesha kama unataka kuendesha nchi ka mkono wa chuma sawa mwisho wa siku tathimini itaonyesha Tanzania inayosonga mbele kwa viashiria (indicators) vinavyopimika.
Wale wote ambao wanaona unawabana pengine kwa matumizi ya vyombo vya dola nina uhakika ni wao mwisho wa siku ndio watakaoneemeka na misimamo yako, ni wao hao wanaokuguna ndio watakao faidi matunda ya utawala wako ambao unapinga watumishi kuwa miungu watu.
Jitahidi kuwa katika msimamo usioyumba ili baadae ukimaliza uwatolee ushuhuda kuwa ni wa kasikazini ndio waliofaidika zaidi maono yako (vision) kuliko hata wa kwako.
Mungu akutangulie,hutaki kumkomoa mtu bali unataka tu kili mtu afaidi kilichomo Tanzania mimi nilivyokuelewa hata kama watafaidi zaidi wao wewe unaona sawa tu si watanzania hao hao?