Unataka kumrithi??Nina kaswali ka kizushi hapa, Hivi mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani. Tz Hawezi kumpa kijiti mwingine kama wafanyavyo ccm au sijui katiba inasemaje mwenye uelewa anijuze, maana tangu naijua Chadema mwenyekiti wake ni yule yule
Tatizo ni wengi wa viongozi wa upinzani ni njaa kali. Huyu Mwenyekiti anaona akimwachia mtu atakiuza chama. Wengi siyo waaminifu mifano unayo. Kuanzia kwa mzee mapesa, Cheyo, Marehemu Mtikila, Mrema, Lipumba nk. Huu ndiyo wasi wasi wakeNina kaswali ka kizushi hapa, Hivi mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani. Tz Hawezi kumpa kijiti mwingine kama wafanyavyo ccm au sijui katiba inasemaje mwenye uelewa anijuze, maana tangu naijua Chadema mwenyekiti wake ni yule yule
Nina kaswali ka kizushi hapa, Hivi mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani. Tz Hawezi kumpa kijiti mwingine kama wafanyavyo ccm au sijui katiba inasemaje mwenye uelewa anijuze, maana tangu naijua Chadema mwenyekiti wake ni yule yule
Kila chama kina katiba yake na taratibu zake kama chama kinaona bado anafaa kina haki ya kuendelea kumfanya mwenyekitiNina kaswali ka kizushi hapa, hivi Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani. Tz Hawezi kumpa kijiti mwingine kama wafanyavyo CCM au sijui katiba inasemaje mwenye uelewa anijuze, maana tangu naijua CHADEMA mwenyekiti wake ni yule yule.
Kwa nini unaliita swali lako ni la "kizushi"? Kama hata wewe mwenyewe huamini unachokiuliza utapata majibu ya maana kweli? Kujibu maswali yako nadhani ungetafuta katiba yao usome inasemaje kuhusu suala hilo.Nina kaswali ka kizushi hapa, hivi Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani. Tz Hawezi kumpa kijiti mwingine kama wafanyavyo CCM au sijui katiba inasemaje mwenye uelewa anijuze, maana tangu naijua CHADEMA mwenyekiti wake ni yule yule.