Recent content by maisha03

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mimi nawatamani Wanafunzi, Nifanyeje ili niache?

    Valisha mkeo uniform au mpenzi wako tena na soksi za punda milia azidi kuone kana bebi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ni ndoto hatari sana maishani mwako

    Mkuu Bujibuji! Ehe na ukiota unatapika makamba marefu hayakatiki nayo tafsir yake nn?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mwanachama mwenzetu wa JamiiForums, Msamiati afariki dunia

    R.I.P Msamiati. Inna lilah wainna ileih rajuun!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mafuta mazuri kwa uso wa mafuta

    Golden touch me siijui bt pond cream ninaifaham na ninatumia
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mafuta mazuri kwa uso wa mafuta

    Tumia pond cream (very oil). Ni nzuri haikubadilishi rangi utavutia tu. Gudluck
  6. M

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kujenga chumba na sebule master

    Kwa ufupi haitoshi ndugu! Bt unaweza anza kidogo kidogo. Nunua material weka site au wekeza kwenye duka la vifaa vya ujenzi kidogo kidogo ukihakikisha una material zote tafuta hela ya fundi anza ujenzi. Kujenga inawezekana na hakuna muujiza ktk kujenga. Usiogope unaweza kujenga zaidi hata ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kujenga kwa mkopo wa Tsh 40,000,000/=

    Unajenga mkuu lakin cha kufanya ni kujenga nyumba ndogo. Ukitaka fundi nipm nikupe no za mafundi wazuri waaminifu hata mimi wamenijengea bila mashaka mashaka
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hodi

    Ingawa nishachangia baadhi ya nyuzii. Naomba kuingia humu wana jamvi! !!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni halali kupokea simu ya mumeo/mkeo akipigiwa?

    Duuu. Yangu kupokea tu ni shida vitu vingine vinatia uvivu. Mimi sipokei wala sioni sababu ya kupokea. Kuku wangu manati ya nini? Kulinda bahari kuna wenyewe!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kero: Korongo lililopo kona ya kituo cha Chama kutokea Tabata Bima litatuua!

    Yani mambo mengine yapo wazi lkn mpaka watu wapige kelele mitandaon au tufe ndio labda wahusika wataelewa lina madhara. Au wanasubir Tsunami iliyotangazwa isombe hicho kipande kilichobaki
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mafuriko ya Mh.Lowasa yaisimamisha Chato ya Magufuli hivi leo!!

    Kikubwa ni kutoa elimu ya jinsi ya kupiga kura. Vijana na mihemko yao watie tiki panapohusika na wasiandike chochote hata nukta wasije wakaharibu kura zao
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Chief Matunge afariki dunia

    R. I. P
Back
Top Bottom