Tanzia: Chief Matunge afariki dunia

Tanzia: Chief Matunge afariki dunia

Umechemka vibayaaaaaa!!

Pamoja na kuwa na jina la Kisukuma lakini hujui Kisukuma, pole sana!! Matunge maana yake ni Popo (wingi). Misukule mama ni Mitunga.
Kweli wewe msukuma
 
nakumbuka Tangazo lake kwenye radio linaanza na watu wanaimba kilugha
 
Maskini apumzike kwa amani "Raha ya milele umpe Bwana---Na mwanga wa mbinguni umuangazie"
 
RIP...alikuwa Mzee mchesi ukimkuta amevaa suti enzi zile za miaka ya tisini huwezi dhania ni mganga.Alikuwa very sophisticated
 
Siyo kazi yako hiyo period. Unajuaje kuwa hakutubu? Unajuaje hakumwamini na kumkiri Yesu? Wewe hangaika na wokovu wako na achana na waliotangulia mbele ya haki. Unajua hata marafiki wa yule jambazi aliyesulubiwa pamoja na Yesu akaokolewa dakika za mwisho pale Golgotha wanaongea kama ww kwamba msela alienda motoni? Mwacheni Mungu Aitwe Mungu!

Kwani wasio wakristo wote wanaenda motoni_i,e waislam,budha,shinto etc,etc woooote ni motoni sababu tu hawajamkiri huyo kristo,...?
Hapa kazi ipo kuzima ni lazima kutakua kumejaa sasa na hakuna nafasi tena,,...just curious to know.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom