Recent content by maisha na pesa

  1. maisha na pesa

    Shule za Dar es salaam ni pasua kichwa

    Kwa wale wanaofundisha shule za Dar es salaam huu ni ujumbe kwenu. Fanya kazi sana lakini ujue hakuna bosi anayejali maslahi yako, utafanya kazi kama punda, sifa zote kwa mwenye shule. Kuna shule hasa hizi kubwa kubwa wafanyakazi hawafanani na ukubwa wa shule, mfano unakuta waalimu wamechoka...
  2. maisha na pesa

    Phone4Sale Nauza Infinix Smart 5

    150k Kama inalipa nichek
  3. maisha na pesa

    Siridhiki na utendaji wa Baraza la mitihani la Taifa, NECTA

    My young sister ana div one ya 12pts niliwahi kumuuliza second president of Tanzania hakunijibu ila ajabu ana A ya civics,,,,,,halafu uwezo wake naujua kwa div hyo hapaana tunadanganyana
  4. maisha na pesa

    Kidato cha nne 2012 na kidato cha sita 2013 ndio matokeo halisi

    Na hayo ndo matokeo ya wanaume hata paper zao ukisolve zilikua balaaa. Hiyo 2012 form 4 paper zilikua kawaida Sana sema usahihishaji na nature ya wanafunzi
  5. maisha na pesa

    Nichague ipi kati ya Shahada ya Microbiology au Shahada ya Molecular Biology and technology

    Bila kusahau molecular biology unaeza fundisha watu Wa MD biochemistry ref. Dr Thomas Marandu yupo udsm department ya biochemistry college ya afya ila pigs msuli mnene
  6. maisha na pesa

    Wale tulioingia chuo kwa mbwembwe na tukaishia kudisco kwa aibu tukutane hapa

    Da wale watu hawafai kipindi hicho huku zl121 bakuza + gamba Kule zl122 Howell palikua hapatoshi, kuna mama mmoja alikua anaitwa rugumamu( kama sijasahau au rweyemamu) walituendesha balaaa bila kumsahau gamba, but at the end tuligraduate japo wengi walichomoka humo njiani pale conas ni kama...
  7. maisha na pesa

    Kwa sasa lazima watwangane tu yetu macho

    huyo urusi alibatizwa lini ubabe wa vita?
  8. maisha na pesa

    Hivi kwanini Marekani na washirika wake walisitisha mpango wa kuivamia Syria ?

    kwanza huyo jamaa awe anafuatilia nyuma ya pazia kuna nini? pearl harbour inavamiwa wakat kiongozi wa japan yupo usa na secretary of state kwa mazungumzo hivyo japan ni kama.alivizia pia ikawa sababu muhimu ya usa kuingia vita ya dunia , halafu kuna documentary moja inaeleza kuwa lile tukio USA...
  9. maisha na pesa

    Je, ni kweli mwanga ndio kitu chenye mwendo kasi kuliko vyote?

    umeme una speed ndogo sana huwa tunaita drift velocity yani zile electrons ni kama zinagongana kusafirisha current so effect yake inasambaa haraka sana Ila mwanga upo kwenye kundi moja la waves zinaitwa electromagnetic radiations na zote zina sifa moja ya kuwa na speed moja ya 300000000m/s ila...
  10. maisha na pesa

    Je, ni yapi mapungufu ya sayansi?

    unachangia jukwaa lenye watu tofaut na level tofaut za kielimu kama hujui ni bora ukae kimya hapo kwenye proton na electron kasome models hizi bohr atomic model na quantum atomic model utaelewa ndo urudi kuchangia tena!
Back
Top Bottom