Kidato cha nne 2012 na kidato cha sita 2013 ndio matokeo halisi

Ujinga ni pale mtu alipohitimu mwaka husika na kuona wao ndo bora kuliko wengine, wahitimu wa miaka mingine yote

Pongezi mlio faulu elimu saivi ni biashara ukiona umepata faida ww mjanja.
 
Shukrani kwa kunisahihisha.

Yule mama alitia ngumu hasa, nina jamaa yangu alikuwa pale akawa anasema vikao vyote vya standardization alivikataa.

Halafu ilikuwa imeingia issue za kidini kwamba amefelisha watoto wa Kiislamu, kwa hiyo akawa anamtuma naibu kwenda kudili na jamaa.

Baada ya yeye kuacha ndo wakaleta issue za division 5 (kuondoa neno division 0), baadae naona waliachana nazo.
 
Cheza mnapochezaga ila tambueni waliomaliza form four 2012 na form six 2013 na wakafaulu hao ndo vipanga ,imagine 60% ya wanafunzi waliomaliza form four 2012 walipata Zero ,34% walipata div four ,6% tu ndo waliofaulu div one -div three huku one zikiwa 1658 pekee mademu waliopata one hawakuzidi 600

One za saba zilikuwa mbili tu Tanzania nzima ,list ya ma T.O wapo waliopata one za 11. Form 6 ya 2013 T.O alikuwa na one ya 5 huku Phy akilamba C .Did v one Tanzania nzima hazikuzidi 300 sawa na 0.84% .

Shule nyingine mf Marian girls walipata one kupitia masomo ya ziada mf bible knowledge nje ya masomo ya kombi zao,utakuta mtu ana F ya Phy na A ya biblia, anawekewa ile A ya biblia ndo mana Necta wakaja na sheria ya kutohesabu maksi ya masomo ya ziada nje ya kombi.
Nyie madogo wa sku hizi msijidanganye na Vi A's vyenu vya kupewa
uambie uma lengo lako ni nini? na sio kuleta mchanganuo ambao kila mtu anaweza kuupata kirahis...
otherwise mada yako itakuwa ya uchochez
 
Cheza mnapochezaga ila tambueni waliomaliza form four 2012 na form six 2013 na wakafaulu hao ndo vipanga ,imagine 60% ya wanafunzi waliomaliza form four 2012 walipata Zero ,34% walipata div four ,6% tu ndo waliofaulu div one -div three huku one zikiwa 1658 pekee mademu waliopata one hawakuzidi 600

One za saba zilikuwa mbili tu Tanzania nzima ,list ya ma T.O wapo waliopata one za 11. Form 6 ya 2013 T.O alikuwa na one ya 5 huku Phy akilamba C .Did v one Tanzania nzima hazikuzidi 300 sawa na 0.84% .

Shule nyingine mf Marian girls walipata one kupitia masomo ya ziada mf bible knowledge nje ya masomo ya kombi zao,utakuta mtu ana F ya Phy na A ya biblia, anawekewa ile A ya biblia ndo mana Necta wakaja na sheria ya kutohesabu maksi ya masomo ya ziada nje ya kombi.
Nyie madogo wa sku hizi msijidanganye na Vi A's vyenu vya kupewa
Nimeshangaa Hadi mdogo wangu ana One
 
Hakuna kitu kama hicho Mkuu, Form six wa 2013 ndio form 4 wa 2010. Na one zilikuwa nyingi NACTE form four, lakini form six hali ilikuwa si hali. Walitukazia kinyama acha mzee.
Na kuna wanangu wao walipata three za PCB wakaenda huko IMTU,BUGANDO na HKMU leo hii ni Madaktari na Wafamasia safi tu na hao walipata three Advance o level walikuwa na Vijiti vya Kueleweka.
Kusema ukweli 2013 ndio ilikuwa mara yaMwisho kwa NACTE kusaisha paper na ku rate kisawa sawa
NECTA
 
Mkuu Yale Matokeo yalikua Nyokooo

Niliambulia .......kimtindo Yaan!!! C..ya Math...( hapo nisiwe muongo mi math siiwez kabisa... Sijui ilikuaje. )

Pia C ya kisw... Na D zingine 2

F.....kama zote...mpka masomo ya dini

Nililia huku nacheka.....maana wenzangu niliokua nakaza nao shule ya kata pale!!! Walizungusha wote!!! mtu 6...duuh!! Sijui mungu alinionaje!!!

Hata yalipoludiwa Nikawa Vile vile...lakin kumbe Ile C ya math ilinibeba mnoo....nadhan ndio imenitengenezea maisha!!!!....

Nilipata mchongo kuingia kweny Ajira!!! 2013......hivo wale wasomi.....niliwachapa fimbo mbali tu!!!!!!!!

Na juz kati hapo nililudia mitihan!!!( mtahiniwa Binafsi!!)....uwez Amin siku hiz watu wanafaulu bhana!!! Yaan masomo 7..... Nikagonga... B..2.....C..3.........na D..2....

Life linasonga Now day nina Aman ya Moyo!!! Nadhan Mwakan Tukutane Universty!!!!...Huku Nikijisomesha mwenyewe No loan!!!!

Ila Ule Mwaka sitousahau maishan 2012????
Salute Afisa
 
Umeongea fact mkuu...

Ni kweli kabisa elimu halisi iliishia kwa waliomaliza form four 2012 kurudi nyuma. Kuanzia 2013 na kuendelea vitoto vinafaulishwa na NECTA kwa kuchakachua matokeo ionekane ufaulu umeongezeka kukidhi matakwa ya kisiasa
Kabisa yaani.... One na two zakumwaga kupewa.
 
Cheza mnapochezaga ila tambueni waliomaliza form four 2012 na form six 2013 na wakafaulu hao ndo vipanga ,imagine 60% ya wanafunzi waliomaliza form four 2012 walipata Zero ,34% walipata div four ,6% tu ndo waliofaulu div one -div three huku one zikiwa 1658 pekee mademu waliopata one hawakuzidi 600

One za saba zilikuwa mbili tu Tanzania nzima ,list ya ma T.O wapo waliopata one za 11. Form 6 ya 2013 T.O alikuwa na one ya 5 huku Phy akilamba C .Did v one Tanzania nzima hazikuzidi 300 sawa na 0.84% .

Shule nyingine mf Marian girls walipata one kupitia masomo ya ziada mf bible knowledge nje ya masomo ya kombi zao,utakuta mtu ana F ya Phy na A ya biblia, anawekewa ile A ya biblia ndo mana Necta wakaja na sheria ya kutohesabu maksi ya masomo ya ziada nje ya kombi.
Nyie madogo wa sku hizi msijidanganye na Vi A's vyenu vya kupewa
Daah kweli bana Form six 2013 watu wote ninaowajua tuliosoma PCM hakuna alie pata one
 
2013 PCM nilipata div 3 ya 14 nikaingia udsm kilaini, huo mwaka acha kabisa ,wale necta wakisahihisha vile siku hizi wataambuliq division 1 za kuokota,

kuna jamaa yangu o level 2010 mzumbe alikuwa kati ya waliongoza kwa kupata one ya 9, form six PCM akalamba division 3 ya 15 tukakutana COET pale,
 
Mkuu hakuna cha kushangaza hapo. Vigezo vya kupata div. One ya point 7 ni tofauti na ya kumfanya mtu awe kwenye top ten.
Ili uwe na div 1 ya point 7 unatakiwa kuwa na angalau alama A saba kwenye masomo uliyofanya mtihani, na kuwa kwenye top ten unatakiwa uwe umepata maksi nyingi kupita wengine.
Ili upate A kwenye mtihani wa form 4 unatakiwa upate maksi kati ya 75 mpaka 100. Sasa fikiria shule moja tuseme St. Francis wanafunzi 79 wana point 7 na pengine kila mmoja amepata alama kati 75 mpaka 83 kwa masomo yote na shule nyingine zina wanafunzi 20 wenye point 7 lakini maksi za mitihani yao ni kati ya 85 mpaka 95. Kwa vyovyote top ten itatoka kwenye hizo shule zenye wanafunzi 20 wenye point 7 lakini yenye wanafunzi 79 wenye point 7 itaongoza kwa ufaulu kishule.

Mkuu labda uwe umeanza kufatilia matokeo miaka ya karibuni,enzi zetu kwanza point 7(olevo) au 3(Alevo) zilikuwa chache sana na shule inayotoa point 7 au 3 nyingi ndio huwa inatoa wanafunzi wa Top 10 na ikiwezekana TO kabisa,haingii akilini kabisa shule inatoa watoto 60 wanapoint 7 halafu hakuna hata mmoja Top 10??? Unajua kwamba St Mary Mwanafunzi wa mwisho ana Div One ya Pointi 14? Unajua maana yake hiyo kitu? Halafu hakuna hata mmoja kwenye Top 10 hahahaaa...Ukiona 7 za zamani yaani straight As yaani kama kafanya masomo 9 basi anapiga A zote tisa au kama 10 na Agriculture/Divinity basi A zote 10.
 
Weka form 6 ya 2007.. uone matokeo yalikuwaje.. b com mlimani watu walichaguliwa na div 3 .. na mkopo wakapata.. maana watu waliofaulu sana walikuwa wachache sana..
Na hayo ndo matokeo ya wanaume hata paper zao ukisolve zilikua balaaa. Hiyo 2012 form 4 paper zilikua kawaida Sana sema usahihishaji na nature ya wanafunzi
 
Cheza mnapochezaga ila tambueni waliomaliza form four 2012 na form six 2013 na wakafaulu hao ndo vipanga ,imagine 60% ya wanafunzi waliomaliza form four 2012 walipata Zero ,34% walipata div four ,6% tu ndo waliofaulu div one -div three huku one zikiwa 1658 pekee mademu waliopata one hawakuzidi 600

One za saba zilikuwa mbili tu Tanzania nzima ,list ya ma T.O wapo waliopata one za 11. Form 6 ya 2013 T.O alikuwa na one ya 5 huku Phy akilamba C .Did v one Tanzania nzima hazikuzidi 300 sawa na 0.84% .

Shule nyingine mf Marian girls walipata one kupitia masomo ya ziada mf bible knowledge nje ya masomo ya kombi zao,utakuta mtu ana F ya Phy na A ya biblia, anawekewa ile A ya biblia ndo mana Necta wakaja na sheria ya kutohesabu maksi ya masomo ya ziada nje ya kombi.
Nyie madogo wa sku hizi msijidanganye na Vi A's vyenu vya kupewa
Rudia mtihani tusichoshane....kwani walitoa nje ya silabasi? Mlikua mnasoma kimazoea
 
Cheza mnapochezaga ila tambueni waliomaliza form four 2012 na form six 2013 na wakafaulu hao ndo vipanga ,imagine 60% ya wanafunzi waliomaliza form four 2012 walipata Zero ,34% walipata div four ,6% tu ndo waliofaulu div one -div three huku one zikiwa 1658 pekee mademu waliopata one hawakuzidi 600

One za saba zilikuwa mbili tu Tanzania nzima ,list ya ma T.O wapo waliopata one za 11. Form 6 ya 2013 T.O alikuwa na one ya 5 huku Phy akilamba C .Did v one Tanzania nzima hazikuzidi 300 sawa na 0.84% .

Shule nyingine mf Marian girls walipata one kupitia masomo ya ziada mf bible knowledge nje ya masomo ya kombi zao,utakuta mtu ana F ya Phy na A ya biblia, anawekewa ile A ya biblia ndo mana Necta wakaja na sheria ya kutohesabu maksi ya masomo ya ziada nje ya kombi.
Nyie madogo wa sku hizi msijidanganye na Vi A's vyenu vya kupewa
Labda goli limepanuliwa.
 
Back
Top Bottom