hii tanzania banaa serikal imeona kama ndio sehemu ya kujipatia kipato,si bora hiyo pesa youtube ndio waseme kuwa walipwe wao.huu ni unyanyasaji wa wadhi kabisa,na hii ni sehemu ya kuwanyima uhuru watu. hii sio sawa kabisa.
Kama ni kweli sawa pole yake ila kama ni comed na serikal wameamua kufanya hivyo ili kuwatisha walevi watakuwa wamekosea sanaaa,na hapo ndipo watawafanya watanzania waufanye huu ugonjwa kama sehemu ya siasa tu,
baadhi ya vijiwe bado wanauingiza huu ugonjwa kama siasa tuu hakuna hatua ambayo...
na je kama ukisikia kuwa watakao husika katika mazishi ni serikali kitengo cha afya na ndugu wa kalibu watakuwa kwa mbali,hapo utaitaji degree kujuwa mtu huyo amekufa na marelia?
Sawa tutazipuuza lakin,swali muuguzi huyo tayari ameshazikwa?na kama tayari je maiti yake wamepewa ndugu wazike na kama bado tutaona nani atawajibika kuzika huo mwili!!! tanzania hii huu ugonjwa unaweza ukatuathiri vibaya sana kama viongozi watakalia ukweli.badala ya kuweka wazi bayana hali...
Hakimu Mfawidhi,
Unajuwa shida ipo kwetu sisi watu wa tanzania tumekuwa na dharau sana,kiasi hata cha kudharau afya zetu.najiuliza mtu upo nyumbani unaumwa lakin akili ya kufikiria nijisogeze hosp kwa afya haswa kulingana hali ya sasa mtu anawekwa nyumbani anauguzwa nyumba tumekuwa na...
Ni furaha yangu kuona haki itatendeka.hakuna anaepinga kuwa corona imekuwa ni virus hatar sana duniani kote.laki n ukweli ni kwamba cha kaisali tumpe kaisali na kilicho cha halali kwako basi kibakk mikonon mwako,kama ligi ingefutwa manake ukweli hakuna timu ambayo ingeumia sana kama...
unajuwa bado nipo kwenye maamuzi ya serikali kulifungia gazeti la mwananchi.u najuwa naamin kabisa kuwa kuna kinachoendelea nyuma ya pazia tusissma tu kuwa gazeti lina ukosoa uwongozi wa awamu ya 5 sio kweli,gazeti ni chombo cha wazi,kila mtu anasoma,sitaki kuamin kama amekaa mtu mmoja na akawa...
natamani sana kuijuwa hiyo habari ambayo iliandikwa.manake siku hizi ukiandika ukweli,basi wewe upo kwenye hatari,ukisema ukweli upo kwenye hatali,unajuwa tunanyimwa sana uhuru wa kuongea na uhuru wa vyombo vya habari.
hii safi sana,historia kama hizi za watu ambao walikuwa nisehemu ya kulipa taifa heshima lazima zithaminiwe,hii itafanya hata watoto zetu wanajuwa kuwa kumbe kulikuwa na watu kama hawa hapa nchini kwetu.inatia raha na faraja kwa vizazi vinavyo endelea kuzaliwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.