Huyu bwana hadi muda wake uishe atakuwa ameua watu wengi sana kwa presha kwa kuibomoa tanzania.
Na kibaya zaidi Huyu bwana yeye anacho jua ni kubomoa tu.
Sio kila kitu kinacho fanyika marekani kinaweza kufanyika na tanzania. kwa sababu kwanza wao wametushinda vitu vingi kimaendeleo ya kiuchumi na kifkra.
Kuna kampuni moja hivi nimeisahau jina kidogo tanesco wamewahi kuwaagiza mitambo ya kufua umeme wale jamaa waliileta mitambo na walipo ileta ile mitambo tanesco lile swala ndio wakalipeleka bungeni. na bunge likakataa kuinunua ile mitambo.
Na tanesco walicho sema ni kwamba wao wanasikiliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.