Vyama vya siasa vya Marekani havina jezi

Vyama vya siasa vya Marekani havina jezi

Zeni2017

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2017
Posts
1,247
Reaction score
534
Tizama hizi picha mbili za maandamano ya kampeni utagundua hakuna aliyevaa jezi ya chama chake. Na wote wana bendera ya Marekani.
5fd935a870f46d8043c71914b1def925.jpg
b40537e48997f5e4bf061e0deadc03f2.jpg
 
43b2b54e78255ce01b102dd2e95f454a.jpg


8ebc4d1e78cba06cadc135446871aeb8.jpg



Ukiona bendera ya taifa hapo nakupa iphone 8 plus.
 
Wamerekani hawana vyama wanachoangalia ni sera za chama. Usipotekeleza ilani yako uliyohaidi wakati wa kampeni uchaguzi unaofuata hupewi kura.
 
Sio kila kitu kinacho fanyika marekani kinaweza kufanyika na tanzania. kwa sababu kwanza wao wametushinda vitu vingi kimaendeleo ya kiuchumi na kifkra.
 
wanazo alama zinazowatambulisha mkuu; kuna punda na tembo; punda akiwakilisha democrats na tembo akiwakilisha republicans.
 
Back
Top Bottom