CHADEMA inaendeshwa kwa kutumia mbinu za ujasusi za Yericko?

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Habari za jumamosi

Huenda Chadema inazama Kwa kutumia habari za intelijensia za "kachero" Yericko Msambatavangu toka Tanangozi aliyejipachika ubini wa Raising wa kwanza wa Tanzania.

Sishangai leo intelijensia ya Chadema imekuwa mdebwedo kiasi cha kutegemea taarifa za "jasusi Yericko" ndio kifanye maamuzi.

Huyu kijana na wenzie wamejenga utaratubu wa kumiliki akaunti lukuki zinazitumia majina tofauti mara kwa mara huanzisha mada na wachangiaji wa mwanzo huwa wenyewe kwa maigizo ya kumsifia mtoa Mada.

Kama Chadema imefikia hatua ya kutumia taarifa za intelijensia toka kwa "jasusi Yericko Msambatavangu" kifo kwa chama hiki ni dhahiri.
 
Roma anakulilia.......akitoka kifungoni atakuja na wimbo wa " maisha ya migodini"!
 
Mumechelewa sana kuwaaminisha watz kuwa uoinzani ni adui matokeo yake imekuwa vaisi vesa
 
jikite kwenye hoja

Kuna hoja gani uliyoileta hapa ili ijadiliwe na wenye akili? Huu uzushi wako usio na tofauti na ule wa Musiba ndio unauita hoja?

Au nawe umegeuka tiss siku hizi? Endelea kujinyima usingizi na dude kubwa cdm na sidhani kama utafanikiwa! Jishughulishe na kina Roma ila nikuambie hao watakukalisha tu ipo siku!

Yeriko unayehangaika naye sio wa level yako. Atakutesa na kukunyima furaha na huenda ukazeeka kabla ya umri wako!

Yaani kwa siku ya leo tu una mabandiko mawili yasiyo na tija wala maana! Huna kazi ofisini kwako angalau ya kuwafungia wasanii wengine?
 
Habari za jumamosi

Huenda Chadema inazama Kwa kutumia habari za intelijensia za "kachero" Yericko Msambatavangu toka Tanangozi aliyejipachika ubini wa Raising wa kwanza wa Tanzania.

Sishangai leo intelijensia ya Chadema imekuwa mdebwedo kiasi cha kutegemea taarifa za "jasusi Yericko" ndio kifanye maamuzi.

Huyu kijana na wenzie wamejenga utaratubu wa kumiliki akaunti lukuki zinazitumia majina tofauti mara kwa mara huanzisha mada na wachangiaji wa mwanzo huwa wenyewe kwa maigizo ya kumsifia mtoa Mada.

Kama Chadema imefikia hatua ya kutumia taarifa za intelijensia toka kwa "jasusi Yericko Msambatavangu" kifo kwa chama hiki ni dhahiri.

Fanya kazi mkuu, Naona mambo yamekuwa magumu Jibuni hoja za umoja wa ulaya na Marekani

Kila mtu sasa anajua mmewekwa peupe

Ukivuliwa nguo chutama, Mambo yamebuma kick zimebuma

Uchumi wa gesi umebuma, sasa uchumi wa viwanda umebuma
 
Zero brain

Bila wenye nchi kuwa wamoja maendeleo hayaji kamwe, lazma serikali iwaunganishe watu wake na c o vinginevyo
 
Habari za jumamosi

Huenda Chadema inazama Kwa kutumia habari za intelijensia za "kachero" Yericko Msambatavangu toka Tanangozi aliyejipachika ubini wa Raising wa kwanza wa Tanzania.

Sishangai leo intelijensia ya Chadema imekuwa mdebwedo kiasi cha kutegemea taarifa za "jasusi Yericko" ndio kifanye maamuzi.

Huyu kijana na wenzie wamejenga utaratubu wa kumiliki akaunti lukuki zinazitumia majina tofauti mara kwa mara huanzisha mada na wachangiaji wa mwanzo huwa wenyewe kwa maigizo ya kumsifia mtoa Mada.

Kama Chadema imefikia hatua ya kutumia taarifa za intelijensia toka kwa "jasusi Yericko Msambatavangu" kifo kwa chama hiki ni dhahiri.
mhhh sio kweli
 
Sasa mkuu mbona unawatonya, ni vizuri ukawaacha ili wajifie kifo cha mende maana kufa kwa Chadema na vyama vingine ni faida kwa CCM.
CCM ikibaki yenyewe huoni ni faida kubwa sana na hata kazi kwa makada itakuwa haipo pale lumumba itakuwa full kuchoma kuku..
 
Ccm inapoteza muda wake mwingi kufikiria kuiua chadema kuliko kufikiria kuwaletea maendeleo wananchi.
 
Back
Top Bottom