Mkemia Mkuu aeleza kuhusu matumizi ya kipimo cha mkojo

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,638
Mkemia mkuu Prof Manyele amesema ofisi yake hutumia sampuli zilizo nje ya mwili wa binadamu na si kwa kutoboa au kuchana mwili.

Hivyo mkojo hutumika kutambua reaction za sumu mbalimbali kutoka ndani ya mwili. Amesema mkojo pia hutumika kuchunguza utimamu wa akili za mtu wakati anaongea au kutenda jambo fulani, yaani mkojo utaonyesha kisababishi cha mtu kuzidiwa na munkari au tabia ngeni inayofanyiwa uchunguzi.

Source
Star Tv tuongee asubuhi!
 
Mkemia mkuu Prof Manyele amesema ofisi yake hutumia sampuli zilizo nje ya mwili wa binadamu na si kwa kutoboa au kuchana mwili. Hivyo mkojo hutumika kutambua reaction za sumu mbalimbali kutoka ndani ya mwili. Amesema mkojo pia hutumika kuchunguza utimamu wa akili za mtu wakati anaongea au kutenda jambo fulani, yaani mkojo utaonyesha kisababishi cha mtu kuzidiwa na munkari au tabia ngeni inayofanyiwa uchunguzi. Source Star Tv tuongee asubuhi!
Kila mtu amekuwa mwanasiasa ili kuhalalisha vitendo vya unyanyasaji alivyokuwa anafanyiwa Lissu, mwingine hali ya kibiti ilikuwa mbaya kuliko hii iliyomtokea Lissu, mwingine Serikali itagharimia matibabu ya Lissu popo te duniani n.k. duuuh
 
Mkemia mkuu Prof Manyele amesema ofisi yake hutumia sampuli zilizo nje ya mwili wa binadamu na si kwa kutoboa au kuchana mwili. Hivyo mkojo hutumika kutambua reaction za sumu mbalimbali kutoka ndani ya mwili. Amesema mkojo pia hutumika kuchunguza utimamu wa akili za mtu wakati anaongea au kutenda jambo fulani, yaani mkojo utaonyesha kisababishi cha mtu kuzidiwa na munkari au tabia ngeni inayofanyiwa uchunguzi. Source Star Tv tuongee asubuhi!
Uongo wa wataalamu ni vigumu kuupinga kwa vile umejificha katika kivuli cha usomi
 
Mkemia mkuu Prof Manyele amesema ofisi yake hutumia sampuli zilizo nje ya mwili wa binadamu na si kwa kutoboa au kuchana mwili. Hivyo mkojo hutumika kutambua reaction za sumu mbalimbali kutoka ndani ya mwili. Amesema mkojo pia hutumika kuchunguza utimamu wa akili za mtu wakati anaongea au kutenda jambo fulani, yaani mkojo utaonyesha kisababishi cha mtu kuzidiwa na munkari au tabia ngeni inayofanyiwa uchunguzi. Source Star Tv tuongee asubuhi!
Maprofesa njaa hawa, rubbish!
 
Mpaka sasa kosa kubwa nitalifanya nikimuencourage mwanangu kusoma mpaka kwenye PhD level,maana naona ukishapata hiyo Certificate akili inakuwa imechakaa kabisa
 
Kiwewe kizito chawakumba walioshiriki/walioshirikishwa katika jaribio la kigaidi la kumtoa uhai Mh. Tundu Antiphas Lissu ingawa wapo wawili watatu waliotakiwa kutoa kauli lakini kimyaaaa! Bado wamepigwa bumbuazi.
 
Mpaka sasa kosa kubwa nitalifanya nikimuencourage mwanangu kusoma mpaka kwenye PhD level,maana naona ukishapata hiyo Certificate akili inakuwa imechakaa kabisa
Kwani wewe una elimu gani mkuu!!
 
Hivi majuzi huyuhuyu Profesa Manyele aliidhinisha sulfur ambayo itumike kama fungicide katika zao la korosho katika mazingira tata!
Sulfur hiyo inadaiwa kuagizwa na Bodi ya Korosho ikishirikiana na wafanyabiashara wasiojali maslahi ya nchi hii katika msimu wa mwaka huu wa kilimo. Hiyo sulfur ilisemekana kutokuwa na viwango (standards) na vinavyohitajika baada ya kupimwa na Taasisi nyingine ya Serikali lakini ghafla Manyele akaja kutoka majibu tata na kudai ina viwango vinavyotakiwa! Manyele anaichafua GCLA kwa kiwango cha juu.
 
Hivi haiwezekani Ngosha apimwe mkojo ili kujua akiri yake km haijaathiriwa na Albadir
 
Back
Top Bottom