Recent content by maimatha

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake mlioolewa njooni tujadili jambo

    Mi mwenyewe ninamiez 2 sasa sijaguswa kila nikiomba naambiwa kesho
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake mlioolewa njooni tujadili jambo

    Je yeye mnaendelea kupendana? Je tendo unampa? Yan unasamehe tu unaendelea kumuhudumia kama mume?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake mlioolewa njooni tujadili jambo

    Du!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake mlioolewa njooni tujadili jambo

    Sijui kwann sijaelewa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake mlioolewa njooni tujadili jambo

    Swali ulijijisikiaje ulipogunduaa mume wako anakusaliti kwa mara ya kwanza? Je ulifanyaje ukasahau na mkaendelea na maisha na upendo ukabaki pale pale? Ilikuchukua muda gani kuizoea hiyo hali na kurudi kawaida? Naombeni kuwasilisha mada mezani.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kufunga lenta ya msingi kwa kutumia waya badala ya nondo

    Nimeanzisha ujenzi vyumba vya wapangaj nyumba ipo L, fundi wangu kanishaur kama nondo ni bei nitumie wire kufunga lenta ya msingi ...je kwa watalaam ninnaweza tumia wire kwa msingi alafu lenta ya juu nikaweka nondo isilete shida?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tujuane wenye nyumba 2022

    Matofali ya msingi umetumia mangaapi?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kifedha baina ya wenza zinazidi kuongezeka

    Mi wakwangu nitofaut wakati wa uchumba alikua mgum Sana kunipa hela Wala zawadi ila baada ya kunioa nakula bata tu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naomben msaada wa mawazo

    Anafaham na hana tatizo shida ndugu zake ndio mh!!!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomben msaada wa mawazo

    Mungu muache tu aitwe Mungu nilifight nilienda chuo kwa hasira huku mtoto ananyonya....imagine unalala night vitanda vya wagonjwa nalaza mtoto hapo ...Mungu akanisaidia mwaka Jana nikapata ajira.... Mkewe alikua na cheti feki katumbuliwa...Mungu muache tu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomben msaada wa mawazo

    Sawa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomben msaada wa mawazo

    Mimi unaniachaje?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naomben msaada wa mawazo

    Naomben mnisaidie nifanyeje? Mimi Ni mama wa mtoto 1 ana 5yrs Nimeolewa ila mtoto nilizaa na mwanaume mwingine kabla sijaolewa yupo nyumban, Sasa moyo unaniuma kwel mtoto kumuacha kwa mama nimeshindwa kuzoea maana niliishi na mtoto wangu kabla Niliteseka maana nyumban mzee alinitimua...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho....nimwambie mjomba wake?

    Jaman mi nadhan ninamapungufu tu Yan hata bint wa dukan akikosea siwez kumwambia nikiondoka ndio namuandikia sms hiki sijapenda yan Sina ujasir wa kumwambia mtu kitu ...sijui ninatatizo gani mtu akinifanyia kitu naumia tu nachofanya nampigia mama namueleza hata masaa 3 badae nakua na Amani...
Back
Top Bottom