Kweli kbs wasukuma hatupo hivyo, kwanza baba wa familia hawezi ingia kwenye vyumba vya watoto ovyo ht km ni wa kiume. Lazima awaambie kuwa sasa anaingia humo chumbani.Hapana wasukuma hatupo ivo,wasukuma tuna heshima sana hasa katika vyumba ambavyo ni kama vya walezi ua haukuna mambo yanamna io.
inawezekana labda wao ndo walivolelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio bure, hapo kwao kuna jambo na huenda yuko n bi mdogo bila kujua.
Sent using Jamii Forums mobile app
