Recent content by Mahundi Jr

  1. M

    Ushauri wa jinsi ya kumfungulia mashtaka Mkurugenzi mkuu wa PSSSF kwa kushindwa kulipa mapunjo ya mafao

    wapogie hawa: Social Security Regulatory Authority- SSRA Alfa House 2nd & 3rd Floor, Plot No.25; New Bagamoyo Road, P. O. Box 31846, Dar es Salaam, Tanzania info@ssra.go.tz +255 787 498 475| +255 22 276 1689 www.ssra.go.tz
  2. M

    CV kwa tigo, halotel na airtell

    Tigo peleka gold star kamata gerezan
  3. M

    Sababu pekee ya mimi kumchukia Lowassa ni hii, najitahidi sana kumsamehe moyo unakuwa mgumu

    Mwanasiasa kazi yake yeye ni kufanya siasa sasa jifanye na wewe mwanasiasa.tutulaumu hadi mwisho wa dunia wakati wachawi sisi wenyewe
  4. M

    Sababu pekee ya mimi kumchukia Lowassa ni hii, najitahidi sana kumsamehe moyo unakuwa mgumu

    Tuachane na itikadi za vyama tujali maslai yetu.habari za ccm,chadema,cuf, n.k waachieni wenyewe sisi kazi yetu kuchagua nan anafaa.kama MTU alikaa madarakani katika ngazi yeyote ile s/mtaa,udiwan,ubunge na uraisi hajakufanya alicho ahidi hajatulete maendeleo nikupiga chini tu bila kujali chama...
  5. M

    Sababu pekee ya mimi kumchukia Lowassa ni hii, najitahidi sana kumsamehe moyo unakuwa mgumu

    Labda ni waambie ndugu zangu kitu kikubwa kinachofanya tusiendelee ni sisi wenyewe wananchi,tunaitikadi zaidi za vyama tunasahau maslai yetu.tunaacha kuchagua viongozi sasa hihi ambao watatuletea maendeleo tunachagua vyama.
  6. M

    Sababu pekee ya mimi kumchukia Lowassa ni hii, najitahidi sana kumsamehe moyo unakuwa mgumu

    Labda nikuambie usichokijua mtwara tatizo/kikwazo kikubwa ili kuwa ni daraja sio bara bara ya lami.sasa kaa ujiulize kwa nn linaitwa daraja la mkapa.
  7. M

    Sababu pekee ya mimi kumchukia Lowassa ni hii, najitahidi sana kumsamehe moyo unakuwa mgumu

    Mjomba kusini kume sahaulika kabisaaaaa hadi kesho na kesho kutwa wala usiseme chochote.ukitaka kuamini ninachosema nenda Ruvuma pale kafanye tasmini utapata jibu. Mtwara kume pata nafuu kwa sababu katika miaka 20 imepata viongozi wa ngazi za juu wanaotokea mtwara na wenye uzalendo na mkoa wao...
  8. M

    Taarifa za mikopo midogo midogo ya kibiashara!

    Mbona mnaitete crdb halafu hamtoi fact.crdb bank yangu lakin kaa hata bank stat ya mwezi m1 unalpia
  9. M

    Gratuity

    Mbona hamnipi majibu
  10. M

    Gratuity

    Ni baada ya muda gani mwajiri anatakiwa awe amemlipa mwajiriwa gratuity baada ya mkataba kuisha?
  11. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tuanzishe group la whatsapp tuwe tunapeana predictions za kila siku tupige mihela.kama mnaafiki wekeni namba zenu (pm)
  12. M

    Kwa hili la kukusanya kodi toka kwa wapangaji katika majumba mwaka 2020 CCM tuna wakati mgumu

    Tatizo mtu wa mwisho anayekuja kuumia ni nani?mwisho wa siku anayelipa VAT ya kodi ya nyumba atakuwa ni mpangaji.mwenye nyumba ataongeza bei ya pango kwa wapangaji wake,akiona anasumbuliwa sana anaacha kupangisha,sasa sijui serikali kama imeisha andaa nyumba kwa ajili ya kupangisha watu.
  13. M

    Biashara ya mifugo (ng'ombe, mbuzi, kondoo n.k)

    Nahitaji elimu juu ya biashara ya mbuzi kutoka kwa watu wenye experience na biashara hiyo. 1.ununuaji wa mbuzi Mikoani na kuleta dar es salaam. 2.Mikoa yenye mbuzi wengi. 3.Masoko ya mbuzi dar es salaam na nje ya Tanzania. 4.usafirishaji wa mbuzi
  14. M

    Vifaranga vya kuku wa kienyeji wanapatikana Kinyerezi kichangani.

    Nivifaranga wa kienyeji au chotara?
Back
Top Bottom