CV kwa tigo, halotel na airtell

Gan star

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
379
982
Wadau naulizia wapi naweza peleka CV kwa ajili ya kuomba kazi customer care kwa makampuni ya tigo, Halotel na airtel. ..mfano kwa voda unapeleka erolink pale Morocco. ..naombeni msaada tafadhali kwa anayejua
 
Back
Top Bottom