Recent content by Mahole

  1. Mahole

    JamiiForums Tanzania Nikiwasha pikipiki asubuhi inatoa Moshi mweusi.

    Kama ni moshi wa muda mfupi hilo sio tatzo sana ukizingatia chombo kikiwa cha baridi mafuta hayaungui vizuri ila kama ni endelevu hapo badilo spark plug itakua inaaga mashindano
  2. Mahole

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Degree ya Property and Facilities Management

    Ke au me Una ujuzi gani
  3. Mahole

    JamiiForums Tanzania NMB tuoneeni huruma, kiwango mnachokata baada ya kuomba risiti ni sh10,000 -- ni kubwa mno

    Wakala anashika namba moja Ndani namba mbili Atm ndio nafuu zaidi
  4. Mahole

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Bomba la Gesi kutoka Tanzania kwenda Kenya

    Mpaka sasa kuna viwanda vingi tu hapa bongo vinavyotumia gas
  5. Mahole

    JamiiForums Tanzania Mkasa nilioshuhudia nikiwa ndani ya basi ambao ulihusisha Wana Usalama nikiwa njiani kuelekea Jijini Mwanza

    Kula kwanza ugali wa dagaa nyama choma na mtindi ukimaliza ndio tuendelee na mada
  6. Mahole

    JamiiForums Tanzania Ona hapa aina mbili mpya za wizi wa pikipiki ulioshamiri mijini

    Akitoa hapo ndio basi tena ingawa kinapofungwa hua ni sehemu ya kujificha sana
  7. Mahole

    JamiiForums Tanzania Hali sio hali, loan board punguzeni asilimia

    Yani alipwe dola laki mbili halafu aanze kulialia acha kujitoa ufahamu sasa
  8. Mahole

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu maajabu ya huu mti na ukuaji wa uume

    Naona mnajitekenya na kucheka wenyewe
  9. Mahole

    JamiiForums Tanzania Kijana wa kusambaza sabuni kwa wateja anahitajika

    Hayo Malipo ni kwa siku wiki ama mwezi?
  10. Mahole

    JamiiForums Tanzania Kila mauaji hushuhudiwa na macho matano

    Wasaidie upelelezi kupitia tiba asilia Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Mahole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usijaribu kuchumbia, kuoa nyumba ya washirikina

    Kumchana ina msaada wowote na haiwezi kuongeza tatzo? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Mahole

    JamiiForums Tanzania CCM MP has said that ATCL air hostesses are not attractive

    We kweli kiazi mbatata we hiko kitu kitamu hivyo unathubutu kutoa maneno gani
  13. Mahole

    JamiiForums Tanzania Bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam limepasuka Somanga

    Gari zitaruhusiwa muda si mrefu gas imepungua kwa kiasi kikubwa baada ya vent kufunguliwa
  14. Mahole

    JamiiForums Tanzania Bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam limepasuka Somanga

    Usalama upo wa kutosha gari zimezuiwa mbali na eneo la tukio
  15. Mahole

    JamiiForums Tanzania Bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam limepasuka Somanga

    Ni kweli kuna valvu zimeblust ila hakuna madhara yoyote kwa binadamu kila kitu kipo shwari wamefungua vent tu kutoa gas ya njiani na hilo ni kutokana na kazi inayofanyika ya kuboresha mifumo ya gas kuna mkandarasi anafanya kazi
Back
Top Bottom