Hali sio hali, loan board punguzeni asilimia

Mbaya zaidi maybe unaweza kukatwa 500k per year lkn hesabu za mwisho wa mwaka kwa bodi ya mikopo itahesabu imekata 300k.

Kuna uzi huku unaelezea jinsi wanavokata hizo pesa, ukisoma inabidi uwe umefumba macho.
 
embu utag huo uzi tuupitie
 
Nikianzankuish maisha magumu Sana tangu waanze15 percent bora ile 8
Pole sana, hii imesababisha watu wengi sana kuacha kazi, unakuta mtu baada ya makato yote anabakiwa na hela ambayo hata nauli ya kwenda kazini haitoshi, hatari sana!
 
Mbaya zaidi maybe unaweza kukatwa 500k per year lkn hesabu za mwisho wa mwaka kwa bodi ya mikopo itahesabu imekata 300k.

Kuna uzi huku unaelezea jinsi wanavokata hizo pesa, ukisoma inabidi uwe umefumba macho.
Yaani vururu vururu!
 
Back
Top Bottom