Naomba ufafanuzi kuhusu maajabu ya huu mti na ukuaji wa uume

uroto

JF-Expert Member
Jun 25, 2015
438
218
Habari zenu wakuu,

Mwezi uliopita tulienda kijijini kumsalimia Mzee mmoja ambaye ni babu yetu

Baada ya siku 2 tukiwa shambani tuliona mti wa madodoki, ndipo mwenzangu akamuulza babu. Je, ni kweli dodoki lina ongeza ukubwa wa uume? Babu alisema hapana ila kuna mti unaoitwa myegi ambao unafanana na mdodoki,jioni alienda kutuonesha huo mti

Tulipo muuliza unafanyaje, akasema hutumii dawa ila unajichanja likiwa dogo,kadri linavyokuwa ndipo uume unaongezeka,

Leo hii hii mimi na rafiki yangu ambaye alijichanjia,amelikata lile myegi baada ya kuridhika na saizi anayoitaka na mimi nikiwa shuhuda

Swali nalojiuliza kisayansi,kuna uhusiano gani ukichanjia na ukuaji wa uume? Yaani hata usafiri mkoa mwingine,kama hujalikata,nao uume huongezeka,ni uchawi au sayansi?
 
Ndiyo maana jamaa siku anachanjia, kipimo alichokiacha, hivi sasa ni kidogo, wanakijiji pia wanatumia huo mti, maana yale miyegi yake mfano wa dodoki, mengi yamewekewa alama ili waliochanjia asilisahau
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom