Recent content by Mahimbo Jr

  1. Mahimbo Jr

    SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

    Hujawahi kusikia Peer pressure kaka 😀, tutamshawishi na kina Mzee Njogoka mpaka akubali kwamba kisasi ni haki yetu.
  2. Mahimbo Jr

    SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

    Hiyo Amani sisi Team Mzee Komba hatuitaki kaka, hapa kwetu mbwai mbwai tu.
  3. Mahimbo Jr

    SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

    Yule Mzee kwa alichotufanyia hakuna Sheikh wala Mchungaji yeyote yule anayeweza kufanya Roho yetu ya kisasi dhidi ya Mzee kabudi ife.
  4. Mahimbo Jr

    SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

    Ila kusema kweli Team Mzee Komba hatujaridhishwa na mwisho wa hii hadithi, ni kwanini Mzee kabudi atudhalilishe kiasi cha kumpa Mimba mwanetu na Mke wetu?
  5. Mahimbo Jr

    SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

    Na Sisi tuna mizizi yetu.
  6. Mahimbo Jr

    SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

    Naona Watu mnatusema sana Team Mzee Komba, sikieni sasa hapo Kitandani hatukai maisha wazee lazima tuamke tumlipizie yule Sangoma.
  7. Mahimbo Jr

    SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

    Leo mpori pori anagusa Ngozi 🙌🏼
  8. Mahimbo Jr

    SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

    Usishangae na leo huyo mpori pori akashindwa kugusa Ngozi.
  9. Mahimbo Jr

    SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

    Acheni kumsingizia Laila, si mmelala na huyo mtoto usiku kucha mlimfanya nini?
  10. Mahimbo Jr

    SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

    Hata Mungu anakusamehe mchana kweupee.
  11. Mahimbo Jr

    SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

    Hata hiyo Jioni mpori pori anaweza asifanye kitu 🚮
  12. Mahimbo Jr

    SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

    Si nilisema mimi, huyu mpori pori hatogusa Ngozi
  13. Mahimbo Jr

    SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

    Basi utashangaa huyu mpori pori akashindwa kula hiyo mali 🚮
Back
Top Bottom