Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,366
- 18,152
Pongezi kwako msimuliaji:
Bado ni bikraInamaa Higno hajui hata Body Language ya mtoto wa Kike....!,🤔
Hata tone ya sauti kweli !
Au Girls Proximity.
Au Girls Concern
Hapa kaniudhi sana sana 😆
🤣🤣🤣 Siamini kama kimasikhara . subiri nimle Soraya nitareta mrejesho kwenye forum husikaInamaa Higno hajui hata Body Language ya mtoto wa Kike....!,🤔
Hata tone ya sauti kweli !
Au Girls Proximity.
Au Girls Concern
Hapa kaniudhi sana sana 😆
Mm nipo na talibu mpk tuingie jera🤣🤣Timu talib tujuane tushasababisha mambo huko.
Na Ngoma juu kaambuliaMoshi mweupe unatokea katika kibanda cha higno, Pasina shaka nyavu anakabidhiwa higno azifumue leo, yule mwenye pupa alimfumua malinda bi mapengo mwenye ukurutu kibao
lkn jua ndio mke wake wa ndoa we subiliaHiggno kabla hata hajala kitumbua,anapata taarifa kuwa duka lao limeungua
Aijawai koseaHiggno ni kiazi hajiongezi tusishangae akipewa akachomeka kusiko
taarifa anapataje na simu hanaHiggno kabla hata hajala kitumbua,anapata taarifa kuwa duka lao limeungua
wivu umemjaataarifa anapataje na simu hana
Muache ajilie toto limekuja lenyewe, sio Idd mpaka kwa kilevi ameshindwawivu umemjaa
Tena toto lenyewe la kiarabu😊Muache ajilie toto limekuja lenyewe, sio Idd mpaka kwa kilevi ameshindwa