SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

Yani Leo akishindwa,itakuwa rasmi sasa higgno ni kiazi,halafu leo chance ni ndogo sana ya kukutana maana akijua kuwa kwao kuna matatizo ndio kabisa jogoo hatawika,labda soraya afanye jambo kusahihisha mapema kwa mzee frank.Soraya wakati flani anaupiga mwingi sana
 
Hivi kama Soraya ameondoka na ile simu, Twalib si atakamatwa? Lakini inawezekana Soraya akajua kuwa yule ni Baba yake Higgno ambaye anataka awe mshenga wake hahaha
 
Kuna watu walijua Higgno akikutana na soraya ndio mwisho wa stori kumbe ndio kwaanza inaanza yaan mambo mengi muda mchache aisee.
 
Mambo ni mengi sana, visa vinaongezeka, Idd kule na mpango wake huku, tayari kafanya yake, Higgno anaendelea kuwasogelea wabaya wake, na tayari Kala kiapo kumlinda soraya
 
Back
Top Bottom