Hatujaadimika,sema nn uchumi umebana hivyo bc wanaona bora wame za watu maana kwa madai yao wanajua eti kujali[emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ww nimke wa mtu inakuaje uwe na marafik wa kiume wengi kuliko wa kike?? Yaan na mumeo kakuruhusu tu!! Mama hapo inaonekana kabisa mumeo hukupend .ila ushaur wako nimzur kwa wadada naiman wameuelewa na wameupenda na waufanyie kaz sasa[emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna mke mke hapo ndugu.maana mwanamke aliyoko kwenye ndoa ni kosa kubwa kugawa namba hovyo au ni mfanya biashar anawapa namba wafanya biashar wenzie??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushaur wangu nikwamba najua unampenda hasa huyo mwanamke ,lkn jaribu kua nae Makin inavyo onekana huyo mwanamke kwanza ni mtu wa starehe sanaaa.sasa usije kuthubut ukauza hiyo nyumba eti kisa tu kasema mkajenge dar.pambana pata pesa kajenge anakotaka lkn nyumba ya huko mikoan usithubut kuuza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.