kweleakwelea
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 3,075
- 1,550
Kuwa mwangalifu. Siku hixi mabinti wanaolewa hata mara saba kwani ndoa hazijaunganishwa NIDA.
mara nyingi mabinti hawa hupenda kujuwa kama una kazi...una mshahara na unakopesheka.....
Akiishajuwa mnaoana....anakyshawishi uchukuwe mkopo umpe afanye biashara....wengine miongoni mwa mabinti hawa wana biashara nzuri tu na wamefanikiwa japo mtaji wao ulipatikana kwa njia hii hii...wakati unaprocess mkopo yeye anakuwa busy kikupost kwenye facebook na insta..na status ya whatup kwsmba kapata mwenzi wa maisha upweke sasa basiii....wewe kichwa inavimba unaongeza kasi mkopo utoke
Akiishapata mkopo anaanzs kukuletea vya kuletwa inabakia mateso kwako. Hupewi hesabu wala faida hujui...ukimuhoji sana anakuvunjia chupa ya bia kichwani. Au anakuambia eenzio wanaeafungulia wapenzi wao biashara na hawafuatiloi..Utachagua umuache na mkopo utembee zako au umganganie aendelee kukutesa. ..... utaendelea kulipa mkopo hadi uishe...Wengi huwa wanasepa na kilio.
Una bahati huyo wako bado.mshamba ila anakoenda ni huko huko.....tafakari...chukuwa hatua...tunamfungulia biz mwanamke aliyetuxalia mtoto ili hata ukikaukiwa maziwa yaendelee kuwepo