Recent content by MAHENGE JR

  1. MAHENGE JR

    JamiiForums Tanzania Kirusi kipya cha HIV kimegunduliwa Uholanzi

    Ninacho
  2. MAHENGE JR

    JamiiForums Tanzania Misukule wanaofufuliwa na Askofu Gwajima huwa wanapelekwa wapi?

    Aise kwa kweli mminichekesha sana.
  3. MAHENGE JR

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu wa Kiume anaoga baada ya siku mbili, maji yapo ya kutosha. Hii ni kawaida?

    Mbona mm kuoga ni mpaka nshtuliwe na masela kama s hivyo naweza kaa hata mwezi.
  4. MAHENGE JR

    JamiiForums Tanzania Je, Tatu Mzuka ndiyo hawa wa Mnada Poa?

    Sijui
  5. MAHENGE JR

    JamiiForums Tanzania Johny Drille yupo Underrated sana tofauti na ukali wake wa kuimba

    Kwani na yeye yuko kwenye lile kundi linaitwa mavin?
  6. MAHENGE JR

    JamiiForums Tanzania Johny Drille yupo Underrated sana tofauti na ukali wake wa kuimba

    Ahaa! Nilimsahau,kwa kweli huyo cmfahamu hata kidogo aise huyo jamaa bc gundu lake ni kiwango cha standard gauge.
  7. MAHENGE JR

    JamiiForums Tanzania Johny Drille yupo Underrated sana tofauti na ukali wake wa kuimba

    Au ndio yule aliyeimba ule wimbo uitwao''iron man''..
  8. MAHENGE JR

    JamiiForums Tanzania Johny Drille yupo Underrated sana tofauti na ukali wake wa kuimba

    Bac naamini kweli jamaa ana gundu maana wadau hata huu uzi naona kama umepoa hivi hauna wachangiaji.
  9. MAHENGE JR

    JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na Kalikonji

    Kalikonji,aisee!
  10. MAHENGE JR

    JamiiForums Tanzania Hivi Komando ni mtu wa Sifa gani na uwezo wake upoje?

    Kweli cc makomando wakati mwingi sio wa2 wa show off,alafu mm ni komando john haswaa ukitaka kunijua vizuri we niletee utani wa kijinga nakuvunja vunja alafu napotea ktk mazingira ya utatanish.wako comando kutoka idodomya.
  11. MAHENGE JR

    JamiiForums Tanzania Ukiwa huna kitu hakuna mtu atayejishughulisha na wewe ila ukipata tegemea yafuatayo

    Kupewa nafasi ya kuwa msemaji mkuu ktk familia,hata kama ndugu yako ni mkubwa kwko na ana mawazo mazuri kuliko wewe ataambiwa atulie kukupisha wewe mwenye fweza hata kama unaongea rubbish utaskilizwa hivyo hivyo mpaka kikao kinakwisha vilevile japo kaongea pumba ndugu watampigia makofi vigele...
  12. MAHENGE JR

    JamiiForums Tanzania Brand ipi ya maji ni bora baada ya Kilimanjaro Drinking Water?

    Ihefu drinking water yako murua saanaa.
Back
Top Bottom