Je, Tatu Mzuka ndiyo hawa wa Mnada Poa?

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
May 3, 2020
2,416
3,911
Tatu Mzuka mtangazaji alikuwa Mussa Hussein alikuwa anaipambia balaa kwamba weka namba zako tatu za bahati ili ushinde mamiliioni, Sijajua kama bado inaendelea.

Naona wamerudi tena kwa style nyingine na mtangazaji ni yuleyule Mussa Hussein, sasa hivi wapo kwa jina la Mnada Poa. Unatuma hela kiasi tofauti na mwingine yani kiasi chako kisifanane na mtu mwingine, unakuwa umeshinda kati ya hivi ambacho kipo. Siku hiyo labda Tv, friji, pikipiki na jiko la gesi

Je, ndio hao hao Tatu Mzuka ndio Mnada poa.
 
Wezi tu hao, Yaani mtu anayecheza na kutuma pesa katika michezo hiyo inabidi kumuangalia mara mbili mbili kama zinamtosha kweli.
 
Back
Top Bottom