Kirusi kipya cha HIV kimegunduliwa Uholanzi

Wale tuliobatika kufika vyuo vikuu vya sayansi na kujua hata zile basicd za kirusi . tumekuwa wepesi wa kukata tamaa ya kushindana na mawazo tunayoyaona kabisa yana nia Ovu.
 
akili zangu darasa la nne B zimeniambia wazungu wanataka kupunguza idadi ya watu ili dunia iweze kuelea vizuri kwenye muhimili wake.

kwa sasa binadamu tupo wengi kiasi cha kupelekea dunia kuzidiwa na uzito.
Yale mamiti ya amazon yaliyoungua uzito wake utafidiwa na nani kama tusipozaana Teh!!
 
akili zangu darasa la nne B zimeniambia wazungu wanataka kupunguza idadi ya watu ili dunia iweze kuelea vizuri kwenye muhimili wake.

kwa sasa binadamu tupo wengi kiasi cha kupelekea dunia kuzidiwa na uzito.
Kwa ujinga wako unajua Korona ilianzia ulaya!
 
Ulivyoikuta huko, ukaileta hapa bila hata kwenda kutafuta more informations.

Unasababisha taharuki kwa watu.

Bure kabisaaaaa...

Unasema hakina dawa, wakati dawa zipo.

Bure kabisaaaaa...

Vijana wa ovyoovyo.


Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Mzee si ndo amekuletea taarifa ili wewe na mimi tufuatilie undani wake?!!,Sasa unataka kutafuniwa kila kitu?.
 
Waafrika mnatafutwa kwa kila njia na kwa mbinu zote, sijui nini kinawafanya msidhurike kwa kiasi kikubwa pamoja na kuundwa hizi laboratory weapons ili ziwamalize lakini wapi.
yani waafrika sijui tumewakosea nini hawa wazungu, wanatuwinda kweli kutuangamiza na sisi wala hatuna habari nao kwa lolote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom