Recent content by MAHENDEKA

  1. MAHENDEKA

    JamiiForums Tanzania Kufananisha Subaru SJG na LC 300 series ni matusi!

    Mkuu maelezo uliyotoa ni kweli kabisa , lakini kwenye suala la peformance Sjg inatoa upinzani mkubwa sana kwa Lc300 ni dhahiri , Lc300 anaachwa mbali na sjg Lakini sio kwa hizi zebye horsepower 409, uzoefu ulio nao ni wa pande chache jaribu siku moja utabadili mtazamo wako
  2. MAHENDEKA

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Mimi niko halftime
  3. MAHENDEKA

    JamiiForums Tanzania Msiache kuiomba mizimu yenu, ndio njia rahisi ya kufanikisha mambo

    Mizimu sio majini nyie wajinga , ni roho za watu waliokufa ambao pengine hawakua watu wema duniani , kwa hio roho zao ni nzito au too denser zimeshindwa kupaa juu kwenda kwenye higher dimensional spiritual realm. Kila mtu akifa muovu anakua mzimu , na anabako duniani kama kiumbe wa roho...
  4. MAHENDEKA

    JamiiForums Tanzania Online Tv

    Production imegawanyika ipo ya audio na video Mimi nitaorodhesha ya video kwa uchache 1. Tvs 2.Computer (macbook inashauriwa zaidi) na softwares kama adobe master collection humo ndani kuna software muhimu kama photoshop,premiere,illustrator,lightroom etc etc...software zingine kama cinema...
  5. MAHENDEKA

    JamiiForums Tanzania Elimu ya uumbaji binadamu bila kujamiiana

    Asante mkuu hii umeiweka vizuri niliku anafikiria kuandika hio picha inachosema
  6. MAHENDEKA

    JamiiForums Tanzania Samoa Sulha Hasanoo

    siezi kukuandikia msg mkuu , waeza ni pm kama hutojali
  7. MAHENDEKA

    JamiiForums Tanzania Shout-out to Mshana Jr

    Dm yake imefungwa huezi mzamia mkuu
  8. MAHENDEKA

    JamiiForums Tanzania KERO Kimara maji ya DAWASA yananuka

    Brother Mshana Jr pitia reply zangu boss nakupmba inbox
  9. MAHENDEKA

    JamiiForums Tanzania Samoa Sulha Hasanoo

    Mshana Jr nakuomba Pm tafadhali nina dharura na wewe
  10. MAHENDEKA

    JamiiForums Tanzania 2012 Nissan Xtrail Vs 2010 Subaru Forester

    Siezi sema xtrail gari mbaya ila uwe na pesa ya spare na ni gari haitaki kabisa mambo mengi , kwa upande wa subaru non turbo kuna shida nimei experience kwenye steering rack yake ambayo ni ya umeme ukiiendesha baada ya muda fulani inaanza kugonga gonga huko chini huezi furahia kabisa...
  11. MAHENDEKA

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!

    Mkuu uonapo msg yangu nakuomba pm tafadhali Mshana Jr
  12. MAHENDEKA

    JamiiForums Tanzania Nakala ya asili ya Goetia

    Huyu alikua ni Mungu wa wafilisti na baba yake aliitwa Dagon
  13. MAHENDEKA

    JamiiForums Tanzania Sababu za vegetarians kutokula nyama

    mboga za bonde la msimbazi hizi na matunda yanayoivishwa kwa umeme % kubwa ya mboga za majani jiji la dar mchicha na chainizi etc zinapigwa dawa sana na zinaota kwenye mabonde ambayo maji taka ya viwanda yavaelekezwa yapite
  14. MAHENDEKA

    JamiiForums Tanzania Thamani ya chupi yako. Ilinde chupi, imebeba maagano, imebeba laana, imebeba baraka, imebeba mapepo

    Nmesikia anamtaja Mungiu wa Misri Amun ra
  15. MAHENDEKA

    JamiiForums Tanzania Kazi ya miguu ya kuku kwenye ushirikina

    Kua mtu mweusi sio kigezo cha Uafrika.
Back
Top Bottom