Tuanzie hapa,
Dunia si inalizunguka jua na kama hiyo Planet X iko nyuma ya jua imekingwa ina maana ipo katikati ya jua na Dunia ? Au kwa maana nyingine kama umbali kutoka kwenye jua ni huo ulio utaja vipi uhusiano wa umbali kati ya Dunia na jua na Dunia na hiyo planet X pamoja na umbali kati ya...
Tutawaita Madaktari kwa heshima atake asitake 😁😁😁. Maana wanatutibia Bibi zetu, Mama zetu na Babu zetu huko vijijini. Hivo basi hawa maCO tuwaongezee Udaktari wa heshima pembeni. Mbali na ule udaktari tunaowaita mtaani 😁😁😁.
Disclaimer: Ukikaza Ubongo sana hapa hautaelewa. Ukiwa serious sana...
Kwa maana hii naweza kuwa MD kwa heshima ? kwa mujibu wako ? Bainisha hapa ni kipi hutolewa kwa heshima bila kupita darasani na ni kipi ni lazima upite darasani ndipo upewe ?.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.