Mmh..
Mie ninaamini hivi viumbe kweli vipo..
Hata mimi nilisha-conclude hao jamaa wapo na wana akili na teknolojia kubwa kuliko sisi. Shida huwa najiuliza kwa nini hawajawahi kurudi kutujaribu kwenye vita na wanadamu? Je, wanajua sisi ni hohe hahe kwenye teknolojia ama?
Wataalam wanadai uzito wa matofali hayo, unaleta shida kufikiria teknolojia iliyotumika kuyabeba, kuyaleta na kuyapanga hayo hayo matofali ni kubwa na vitu vilivotumika ni vizito sana ambako mpaka sasa hakuna teknolojia ya kubeba uzito kama huo.
Sasa kuwepo tofari ndio kigezo? Mbona tuna balabala zimepitishwa chini ya maji tena urefu ni zaid ya km1000
Nahisi uhitaji wa kipindi kile ni tofauti na sasa awali walidai kuwa zile pyramid za misri zilijengwa na alien lakini hakukuwa na ushahidi huo nahisi kuna story inatengenezwa ili tuaminishwe kuwa hivi vidubwasha vipo tena vinatech kubwa kuzidi sisi lakini si kweli no hadithi tu ya kufikilikamleta mada anadai hizo tofali kwa tech ya sasa ni vigumu kuzitengeneza na zimekuwa hapo miaka mingi hivo hii ndio hoja yake
Tuanzie hapa,Siyo kwamba iko karibu na Jua, bali imekingwa na Jua kutoka duniani na baadhi ya wataalamu wanadai iko mbali kama mara 20 ya umbali wa kutoka kwenye Jua hadi Sayari ya Kausi (Neptune) So, siyo umbali wa kitoto ndugu.
Ulimwengu huu wa nyama hakuna uhalisia wa hayo mambo
Binadamu ameletwa hapa na Mungu peke yake kupata taabu Kama zote.hao alliens ni cospirancy theory.msipotoshwe huko ndiko kuabudu sanamu Sasa.
Kama tofali zipo na zimeonekana,kama angekuwepo aliezitengeneza angeshazungumza ama kujulikana kabla ya mleta mada pengine kufahamu
Haya mambo yapo
We nyang'ay balabala ndiyo kitu gani?Sasa kuwepo tofari ndio kigezo? Mbona tuna balabala zimepitishwa chini ya maji tena urefu ni zaid ya km1000
Vipi hii hapa ni photoshop au?Ulimwengu huu wa nyama hakuna uhalisia wa hayo mambo
Binadamu ameletwa hapa na Mungu peke yake kupata taabu Kama zote.hao alliens ni cospirancy theory.msipotoshwe huko ndiko kuabudu sanamu Sasa.
Mfano mzuri kuna zana nyingi za kale na michoro kwenye mawe nkHata mimi nilisha-conclude hao jamaa wapo na wana akili na teknolojia kubwa kuliko sisi. Shida huwa najiuliza kwa nini hawajawahi kurudi kutujaribu kwenye vita na wanadamu? Je, wanajua sisi ni hohe hahe kwenye teknolojia ama?
Wataalam wanadai uzito wa matofali hayo, unaleta shida kufikiria teknolojia iliyotumika kuyabeba, kuyaleta na kuyapanga hayo hayo matofali ni kubwa na vitu vilivotumika ni vizito sana ambako mpaka sasa hakuna teknolojia ya kubeba uzito kama huo.
walikufaMfano mzuri kuna zana nyingi za kale na michoro kwenye mawe nk
Utaambiwa eneo hili waliishi watu zamani za kale
Swali hao watu walienda wapi
Wote na uwezo wao?walikufa
Hilo la kuwa waliuawa na gharika nalikubali kwa sababu zana nyingi za kale walizotumia hupatikana mabondeni na kwenye makorongo mfano Isimila nk kuonyesha kuwa zana zilisombwa na maji na kutupwa kwenye hayo makorongobinadamu wa zamani walikuwa na akili sana na walifika mbali kiteknolojia kuliko sisi...mpaka wakataka kwenda kwa mungu, maana yake walikuwa na space ships za kutosha...ndomaana mungu akaleta gharika kuwafutilia wote,,wnasayansi/wanahistoria wanasemwa volcano na vimondo viliwaua bianadamu wote wa mwanzoni....huenda volcano/magma kwa wanahistoria ndiyo maji kwenye gharika la nuhu
hayo tu unashangaa unaambiwa Hawa viumbe ndio walio mproject Binadamu Caucasians (Wazungu & co )ndio Hawa Hawa walio watoa watu (Blacks)Asee makubwa haya