Recent content by magukulu ga mihanda

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli wakala wa makusanyo ya kuingia Ubungo ni kampuni ya ndg Kingunge N Mwilu?

    Ni mda sasa tokea niwe nasikia chini chini kwamba wakala wa ukusanyaji mapato ya mlangoni pale UBT ni kampuni ya Kingunge N Mwilu. Naomba kuthibitishishiwa (Kwa anayefahamu) eti habari hizi ni za kweli?
  2. M

    JamiiForums Tanzania M-Bet na Mkeka Bet ni tofauti?

    Matapeli hayo!Yaliniliza laki mbili na nusu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

    Mungu awaweke mahali panapowastahili!Pole kwa waliopatwa na msiba huo!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kabila la wanguu linapatikana wapi Tanzania?

    Asante kwa wote mlionisaidia kunifafanulia ni wapi hawa ndg zetu hupatikana.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kabila la wanguu linapatikana wapi Tanzania?

    Ooh ushimen,samahani endapo nimekukwza!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kabila la wanguu linapatikana wapi Tanzania?

    Nina rafiki yangu mzungu ktk project fulani huko nchi jirani na Tz lkn anadai yeye ni jamii ya Wanguu na eti ni kabila lipatikanalo huko kwetu Tz. Ni mkoa upi Wanguu hupatikana huko kwetu?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Huyu binti wa kinyarwandwa hakika amenipa funzo kubwa sana!

    Ni binti mwenye uthubutu na asiye na uoga wowote!Ni binti mdogo sana,miaka 35 tu toka kuzaliwa kwake. Ni Diana Rwagila.Juzi aliitisha kikao na vyombo vya habari na kutangaza bayana,kwamba mosi;anaupinga utawala wa kiimla wa Kagame.Pili,rasmi sasa atasimama km mgombea binafsi wa kiti cha u-Rais...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Dodoma(Dodoma Stadium) kuanza hivi karibuni

    Wagogo washindwe wenyewe kusakata kabumbu!
Back
Top Bottom