Ni kweli wakala wa makusanyo ya kuingia Ubungo ni kampuni ya ndg Kingunge N Mwilu?

May 5, 2017
9
18
Ni mda sasa tokea niwe nasikia chini chini kwamba wakala wa ukusanyaji mapato ya mlangoni pale UBT ni kampuni ya Kingunge N Mwilu.

Naomba kuthibitishishiwa (Kwa anayefahamu) eti habari hizi ni za kweli?
 
Ili ufanyeje? Pumbafu sana tafuta pesa ulishe familia yako hayo yanakuhusu nini? Ushambenga tu mtoto wa kiume ww!!!
 
Uthibitisho wa mambo ya seriali unapatikana JF au serikalini..??
Nenda ofisi za halmashauri ya wilaya ya ubungo utapa jibu.
ukishindwa mpigie ndugu H. Pole pole maana ashawahi kuwa DC
wa ubungo, kwahiyo lazima anajua mapato yake yanaenda wapi.

Back
Top Bottom