Prof. Andrea Barnabas Pembe ambaye ni Profesa wa Magonjwa ya Kina mama na Uzazi kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) anaelezea madhara ya utoaji mimba usio salama.
Anasema hali hiyo ni pindi ujauzito unapotolewa katika njia zisizo salama na zisizo zingatia afya na...
Wikiendi iliyopita kuliibuka taarifa juu ya baadhi ya Wamiliki wa baa na hoteli Jijini Mwanza walikuwa na mpango wa kufanya mgomo wakidai wanapinga maamuzi ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kufunga baa na hoteli zao huku nyingine zikipigwa faini kubwa kutokana na...
Mei 22, 2023, Wakulima na wafanyabiashara wa mazao ya soya, Ufuta na Mbaazi walitinga katika mahakama kuu Kanda ya Songea kufungua shitaka la kupinga waraka uliotolewa na mkuu wa mkoa wa Ruvuma unaowazuia wakulima na wafanyabiashara kuuza Wala kununua mazao hayo kinyume na stakabadhi gharani...
Mimi ni mkazi wa Mwanza, Wilaya ya Misungwi, Kitongoji cha Mwasonge, kulikuwa na mradi wa REA wa kuunganisha umeme ambapo ilielezwa kuwa utakabidhiwa kwa TANESCO baada ya kukamilika.
Cha kushangaza ni kwamba tangu REA walipomaliza na kuwakakabidhi TANESCO hadi sasa ni watu wasiozidi 15 tu, ndio...
Binafsi natoa pongezi nyingi kwa Baraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa uamuzi wao walioufanya hivi karibuni, inawezekana ukaonekana kama wamekosea lakini siku zote binadamu huwa si rahisi kukubali mabadiliko.
Mabadiliko yoyote yale huwa yanaambatana na changamoto kadhaa...
For some time now I have been following a company called Chalinze Cement and what I saw was funny. Did you know that this company does not own any land that can mine limestone for cement production? It also doesn't even have the branding they claim to have. They do not even import cement into...
Kipindi cha mvua barabara nyingi zinazounganisha Vijiji vilivyopo Mkoani Ruvuma hazipitiki kirahisi na zingine hazipitiki kabisa. hali inayopelekea wanakijiji wengi kusafirisha mazao yao kwa shida toka eneo moja kwenda eneo lingine.
Inayoonekana katika picha ni barabara iliyopo katika Kata ya...
Wananchi na viongozi wao wa Wilaya ya Nyasa wameamua kushirikiana kwa pamoja ili kuhakikisha ujenzi wa uwanja huo wa Michezo unakamilika kwa wakati.
Ukanda wa ziwa Nyasa umebarikiwa kuwa na vipaji vya kweli vya mpira lakini wanakosa daraja la kupitia kwa hoja ya kuendelezwa.
Kijiji cha Manzeye kilichopo Kata ya Wukiro Wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma kipo kwenye orodha ya vijiji vilivyokosa umeme mkoani Ruvuma.
Kijiji hicho ambacho kinapakana na kata ya Litembo hadi sasa wananchi wake hawajui ni lini watapata umeme huo ingawa baadhi ya maeneo wasimamizi wa...
Wananchi Wengi wa mkoa wa Ruvuma wampongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa mbolea ya ruzuku ambayo imewawezesha wakulima wengi kununua na kuongeza uzalishaji kwenye mazao yao, kwa bei ya Elfu 50,000 hadi 70,000 kwa mfuko wa Kilo 50.
Mbolea ya Ruzuku imewasaidia wakulima kuondokana na...
Machi 23, 2022 Timu ya Mpira wa Miguu ya Majimaji Fc toka Songea, ilizuiliwa Hotelini jijini Dar es salam mara baada ya kushindwa kulipa madeni yao. Timu ikashindwa kurejea nyumbani kwa wakati.
Februari 23, 2023 Wachezaji na Viongozi zaidi ya 12 wa Majimaji Fc walifukuzwa Hotelini (Dar es...
Viongozi wa vyama vingi vya Ushirika wa zao la kahawa Wilayani Mbinga wanafanya kazi kwa lengo la kujinufaisha wao wenyewe badala ya wakulima wa zao hilo.
Wakulima wa zao la Kahawa wanafanya kazi wakati wa mvua na jua kwa kipindi cha mwaka mzima, lakini kwa asilimia kubwa wanaonufaika ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.