Recent content by magoye

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada mwenye taarifa za JKT ya kujitolea 2014

    mwenye taarifa kamili kuhusu taarifa za JKT wa kujitolea 2014
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi afia kambini JKT Tabora

    mmmmh! ni SHIIIDAH
  3. M

    JamiiForums Tanzania Majonzi ya kupoteza mwanafunzi mwenzetu

    machozi yatutoka wanafunzi wa udsm ktk campasi ya mkwawa baada ya kupoteza mwanafunzi mwenzetu wa mwaka wa pili R.N.P MWANAFUNZI MWENZETU
  4. M

    JamiiForums Tanzania majina ya shule na matokeo yake ,weka menngine

    acha kuniebisha bac mbona unaianika shule niliyo soma niaje mwana acha hizo swaga bac emu futa hiyo shule fasta kabla mzuka hauja panda
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusi shirika la bnafsi linalofadhili mayatima kuwasomesha elimu ya chuo kikuu

    usikulupuke kijana subil muda ufike wa kuomba vyuo na bodi ya mikopo watakupatia 2 usiwe na wac wac welcom at UDSM
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. HAMISI KIGWANGALLA NDANI YA CHUO CHA SAUTI MWANZA KESHO 18 JANUARY 2014

    aaaaaaah! kumbe wana chuo wa SAUT ni wana CCM! nyie ndio mumekalia UCHUMI emu inuken tuinue uchumi wetu yaapu! kinaonge kichwa cha UDSM hapa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Darasa la Saba Marufuku Kugombea Ubunge

    ACHEN MANENO MENGI! tajili ataendelea kuwa tajili na maskin ataendelea kuwa masikini kwa mfumo wetu huu kama 2 mawazil wengi hawana biography inayoeleweka! katika ELIMU ni UBABAISHAJI 2 mfano.......loading..............
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wananchi wenye hasira wachinja hadi kuua watoto wawili wa Diwani wa CCM

    dawa ya moto ni moto lkn wamekosea kuuwa watoto wangemua huyo huyo diwan haki ya mtu hailiki kitaeleweka tu!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Vyoo vya UDSM vinatia aibu (95% vimeziba)

    amieni TEKU mambo poa kabisa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mizimu ya mkwawa iliwapanda wanafunzi wa (muce)baada ya loan officer kuchelewa kutupia mzingo wetu!

    mizimu ya mkwawa iliwapanda wanafunzi wa mkwawa university baada ya kuchelewa kutupia boom! na kuamua kuweka tanganzo la kuweka maandamano ya kudai boom! lkn faster wakaliachia mambo poa kwa sasa!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tujadili kauli hii ya lembeli

    alikuwa anawalenga wote mafidi wote ambao hawana uchungu na maisha ya watanzinia bal ni kukuza vitambi vyao kama KAMA MADALAM YA MAFUTA KUTOKA IRAQ
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mapya ya elimu mulugo

    kijana vp? cjakusoma hiyo ni BALUA ya KUOMBA KAZ YA ULINZI au umeramaraizi kamusi ya kiswahili? JIPANGEEEEE! hili c o jukwaa la kubembelezea WATOTO!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Lecturer fataki mkubwa

    ACHA UJINGA WW! umekatwa kichwa umebakia na shingo? ndio maana unatao pumba
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wanaungwana nisaidieni

    Unataka ungombee Uplinciple wa chuo?
Back
Top Bottom