Tujadili kauli hii ya lembeli

Kanuniya68

Senior Member
May 26, 2013
157
0
Wakati akifanya majumuisho ya hoja ya kamati,mh.lembeli amesema 'ukiona mtu anatetewa kwa nguvu wakati ni mkosaji basi utafakari sana,kuna jambo limejificha hapo'..ametoa kauli hyo kuhoji waliokua wakimtetea waziri d.mathayo! Je, alimlenga Zito?
 
Kifaurongo

JF-Expert Member
Jan 18, 2010
3,900
2,000
Inaelekea we una Zitophobia, Zito ndiye aliyoijenga hoja vizuri leo mpaka kukubaliwa kuongezwa muda wa majadiliano bungeni, tena ndiye mbunge wa kwanza kupendekeza Waziri Mkuu na mawaziri wake, unaleta za Ubavicha hapa.
 
magoye

Member
Sep 13, 2013
37
0
alikuwa anawalenga wote mafidi wote ambao hawana uchungu na maisha ya watanzinia bal ni kukuza vitambi vyao kama KAMA MADALAM YA MAFUTA KUTOKA IRAQ
 
DCONSCIOUS

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,269
1,500
Inaelekea we una Zitophobia, Zito ndiye aliyoijenga hoja vizuri leo mpaka kukubaliwa kuongezwa muda wa majadiliano bungeni, tena ndiye mbunge wa kwanza kupendekeza Waziri Mkuu na mawaziri wake, unaleta za Ubavicha hapa.

Aliye anza ni Lissu yaan leo lissu ndio man of the match sema tu kunawatu mna mahaba na zitto mpaka mnapoteza ufaham, hakuma mbunhe aliye toa hoja zenye mashiko km Lissu leo bungeni
 
mishalejuu

Senior Member
Jun 27, 2012
196
0
Lembeli naye mnafiki..ni mtu anayetaka madaraka. Mara nyingi sana amekuwa anautamani u-waziri wa maliasili na utalii. Huyu lazima wateuzi wa mawaziri mkaenaye kwa makini. Aliivuruga sana tanapa na ni mtu asiye mtendaji bali ni mwenye kupenda kujilimbikizia mali tu. Raisi kikwete please kuwa makini na mh james lembeli.
 
kibaya-kenya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
649
195
Leo wabunge wamejitahdi kuwafukuza wahuni ila bado wako wengi sana wamebaki, tuwacheni lissu ndio kaonyesha njia viva chadema
 
Dotto C. Rangimoto

Verified Member
Nov 22, 2012
1,993
2,000
Aliye anza ni Lissu yaan leo lissu ndio man of the match sema tu kunawatu mna mahaba na zitto mpaka mnapoteza ufaham, hakuma mbunhe aliye toa hoja zenye mashiko km Lissu leo bungeni

Nawe pia una mahaba,,, kinyume chake ungeishia kusema wabunge wa chadema tuu
 
Dotto C. Rangimoto

Verified Member
Nov 22, 2012
1,993
2,000
Wakati akifanya majumuisho ya hoja ya kamati,mh.lembeli amesema 'ukiona mtu anatetewa kwa nguvu wakati ni mkosaji basi utafakari sana,kuna jambo limejificha hapo'..ametoa kauli hyo kuhoji waliokua wakimtetea waziri d.mathayo! Je, alimlenga Zito?

zitto hana jema kwenu,,, hivi aliwachukulia mke???? au aliwachukul;ia demu??? watoto wa kimume fanyeni kazi na acheni chuki na wivu wa jikoni,,, mta.....lewa.
 
uvugizi

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,220
2,000
Aliye anza ni Lissu yaan leo lissu ndio man of the match sema tu kunawatu mna mahaba na zitto mpaka mnapoteza ufaham, hakuma mbunhe aliye toa hoja zenye mashiko km Lissu leo bungeni
man of the match walikuwa wengi lakini mimi namuona sana kama kangi lugola ndiye aliyeongea kwa muonekano wa kutokuwa mnafiki na hasa akiwa MCCM
 
Kanuniya68

Senior Member
May 26, 2013
157
0
Lembeli naye mnafiki..ni mtu anayetaka madaraka. Mara nyingi sana amekuwa anautamani u-waziri wa maliasili na utalii. Huyu lazima wateuzi wa mawaziri mkaenaye kwa makini. Aliivuruga sana tanapa na ni mtu asiye mtendaji bali ni mwenye kupenda kujilimbikizia mali tu. Raisi kikwete please kuwa makini na mh james lembeli.

ni kama unamjua barabara huyu muheshimiwa..hebu tupe zaidi
 
Kanuniya68

Senior Member
May 26, 2013
157
0
Inaelekea we una Zitophobia, Zito ndiye aliyoijenga hoja vizuri leo mpaka kukubaliwa kuongezwa muda wa majadiliano bungeni, tena ndiye mbunge wa kwanza kupendekeza Waziri Mkuu na mawaziri wake, unaleta za Ubavicha hapa.

mmh...zitophobia? Kwanini nisiwe na lembeliasis?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom