Jana Tar 7 nilipokea na kuwasilisha Rambirambi ya Sh 263,500, Leo nimewasilisha Rambirambi ya Sh 237,000. Jumla inakuwa Sh 500,500. Hata hivyo baada ya kuwa tayari nimewasilisha kiasi hicho nilipokea tena Sh 10,000 kutoka kwa mjumbe mmoja ambaye alikuwa amechelewa kuwasilisha Rambirambi yake...