Salamu kutoka Kasulu kwa wanaCCM wote mitandaoni

Magoiga SN

Member
Oct 15, 2016
15
75
Jana Tar 7 nilipokea na kuwasilisha Rambirambi ya Sh 263,500, Leo nimewasilisha Rambirambi ya Sh 237,000. Jumla inakuwa Sh 500,500. Hata hivyo baada ya kuwa tayari nimewasilisha kiasi hicho nilipokea tena Sh 10,000 kutoka kwa mjumbe mmoja ambaye alikuwa amechelewa kuwasilisha Rambirambi yake. Hiyo nimelazimika kuituma kwa Mpesa kwenda kwa kaka wa marehemu Peter. Naomba nitumie fursa hii kutangaza kuwa nimefunga kupokea Rambirambi.

Laki tano na elfu kumi na miatano (Sh 510,500) siyo haba kwa udharula wa tukio, hivyo niwashukuru sana wote mliobarikiwa kushiriki kwa chochote kadei ya uwezo, na hata wale ambao hamkupata nafasi au uwezo wa kushiriki niwashukuru kwa ushauri na sapoti yenu maana matatizo ya aina hii hayana mwisho, unaweza kushindwa kushiriki ktk hili lakini siku nyingine ukapata nafasi ya kushiriki ktk tatizo jingine.

Nichukue nafsi hii kuwapongeza wale wote walioshikiana na sisi kwa namna mbalimbali ktk kufanikisha shughuli ya kumhifadhi ndugu Peter Kalihose. Ndugu, jamaa na hata watu mbalimbali waliohudhuria mazishi ya Peter wameguswa sana na jinsi mitandao ya kijamii inavyoweza kuwaunganisha watu kwa mema ktk shida na raha. Huenda kifo cha Peter kimefungua ukurasa mpya ktk matumizi ya mitandao ya kijamii.

Niwape pongezi za dhati sana Makundi ya Team Ushindi 2015, Vijana wa Magufuli, CCM Tawi la Mitandaoni, na wanaCCM wote Mitandaoni walioshiriki kikamilifu ktk kusaidia harakati za kufanikisha zoezi hili. Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipomshukuru Binti Tanzania kwa kazi kubwa ya ukusanyaji wa michango. Hata hivyo tutaweka majina ya watu wote walioshiriki kwa namna mbalimbali ktk huu msiba ktk ukurasa/ page ya CCM Tawi la Mitandaoni hapo kesho

Magoiga SN
 
Malafyale

JF-Expert Member
Aug 11, 2008
13,160
2,000
Yaani kazi YOTE ile aliyo ifanya Marhemu kwenye chaguzi zilizopita ndiyo anapata LAKI 5?
CCM itaacha lini tabia hii ya kupenda vijana wake inapo watumia tu?
RC Gumbo alirudisha Mamilion kama posho ya Mwenge
Hawa mlio wasaidia kushinda akina Mwigulu posho zao ni mamilion
Sasa laki 5 hata jeneza hazitoshi kununua
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,469
2,000
Pamoja na kelele zote zile bado mnachangishana laki 5? Hakika nyie ni masikini sio wa akili tuu hata kipato.
Kumbe ndio maana mna chuki sana na walio neemeka na kuwa na hali nzuri kwa kutumia muda wao kujitafutia maisha ili hali nyie muda wenu mnautumia mitandaoni kutukana watu kutwa kucha?
Hata hivyo poleni kwa kupungukiwa na mtu katika timu ya utukanaji.
 
ZIRO

JF-Expert Member
Nov 10, 2014
899
1,000
Jana Tar 7 nilipokea na kuwasilisha Rambirambi ya Sh 263,500, Leo nimewasilisha Rambirambi ya Sh 237,000. Jumla inakuwa Sh 500,500. Hata hivyo baada ya kuwa tayari nimewasilisha kiasi hicho nilipokea tena Sh 10,000 kutoka kwa mjumbe mmoja ambaye alikuwa amechelewa kuwasilisha Rambirambi yake. Hiyo nimelazimika kuituma kwa Mpesa kwenda kwa kaka wa marehemu Peter. Naomba nitumie fursa hii kutangaza kuwa nimefunga kupokea Rambirambi.

Laki tano na elfu kumi na miatano (Sh 510,500) siyo haba kwa udharula wa tukio, hivyo niwashukuru sana wote mliobarikiwa kushiriki kwa chochote kadei ya uwezo, na hata wale ambao hamkupata nafasi au uwezo wa kushiriki niwashukuru kwa ushauri na sapoti yenu maana matatizo ya aina hii hayana mwisho, unaweza kushindwa kushiriki ktk hili lakini siku nyingine ukapata nafasi ya kushiriki ktk tatizo jingine.

Nichukue nafsi hii kuwapongeza wale wote walioshikiana na sisi kwa namna mbalimbali ktk kufanikisha shughuli ya kumhifadhi ndugu Peter Kalihose. Ndugu, jamaa na hata watu mbalimbali waliohudhuria mazishi ya Peter wameguswa sana na jinsi mitandao ya kijamii inavyoweza kuwaunganisha watu kwa mema ktk shida na raha. Huenda kifo cha Peter kimefungua ukurasa mpya ktk matumizi ya mitandao ya kijamii.

Niwape pongezi za dhati sana Makundi ya Team Ushindi 2015, Vijana wa Magufuli, CCM Tawi la Mitandaoni, na wanaCCM wote Mitandaoni walioshiriki kikamilifu ktk kusaidia harakati za kufanikisha zoezi hili. Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipomshukuru Binti Tanzania kwa kazi kubwa ya ukusanyaji wa michango. Hata hivyo tutaweka majina ya watu wote walioshiriki kwa namna mbalimbali ktk huu msiba ktk ukurasa/ page ya CCM Tawi la Mitandaoni hapo kesho

Magoiga SN
Ntachanga kifo kingine cha mwanaccm kikitokea...ova
 
Ulukolokwitanga

JF-Expert Member
Sep 18, 2010
8,403
2,000
Ingawa sikuwahi kumsikia huyo jamaa kabla ya kifo chake lakini najikuta natamani kujua historia ya maisha yake na nini kimemuua. Kuna post hapa ilisema kisukari, nyingine kajiua kwa kujichoma visu, nyingine kajiua baada ya bosi wake mkurugenzi wa halmashauri kumvuruga!! Vululu vululu. Ewe mwana CCM type wasifu wa marehemu please
 
IKWETE

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
4,058
1,225
Jana Tar 7 nilipokea na kuwasilisha Rambirambi ya Sh 263,500, Leo nimewasilisha Rambirambi ya Sh 237,000. Jumla inakuwa Sh 500,500. Hata hivyo baada ya kuwa tayari nimewasilisha kiasi hicho nilipokea tena Sh 10,000 kutoka kwa mjumbe mmoja ambaye alikuwa amechelewa kuwasilisha Rambirambi yake. Hiyo nimelazimika kuituma kwa Mpesa kwenda kwa kaka wa marehemu Peter. Naomba nitumie fursa hii kutangaza kuwa nimefunga kupokea Rambirambi.

Laki tano na elfu kumi na miatano (Sh 510,500) siyo haba kwa udharula wa tukio, hivyo niwashukuru sana wote mliobarikiwa kushiriki kwa chochote kadei ya uwezo, na hata wale ambao hamkupata nafasi au uwezo wa kushiriki niwashukuru kwa ushauri na sapoti yenu maana matatizo ya aina hii hayana mwisho, unaweza kushindwa kushiriki ktk hili lakini siku nyingine ukapata nafasi ya kushiriki ktk tatizo jingine.

Nichukue nafsi hii kuwapongeza wale wote walioshikiana na sisi kwa namna mbalimbali ktk kufanikisha shughuli ya kumhifadhi ndugu Peter Kalihose. Ndugu, jamaa na hata watu mbalimbali waliohudhuria mazishi ya Peter wameguswa sana na jinsi mitandao ya kijamii inavyoweza kuwaunganisha watu kwa mema ktk shida na raha. Huenda kifo cha Peter kimefungua ukurasa mpya ktk matumizi ya mitandao ya kijamii.

Niwape pongezi za dhati sana Makundi ya Team Ushindi 2015, Vijana wa Magufuli, CCM Tawi la Mitandaoni, na wanaCCM wote Mitandaoni walioshiriki kikamilifu ktk kusaidia harakati za kufanikisha zoezi hili. Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipomshukuru Binti Tanzania kwa kazi kubwa ya ukusanyaji wa michango. Hata hivyo tutaweka majina ya watu wote walioshiriki kwa namna mbalimbali ktk huu msiba ktk ukurasa/ page ya CCM Tawi la Mitandaoni hapo kesho

Magoiga SN
Mkuu vile vikaratasi alivyoandika marehemu ungetuwekea hapa tujue chanzo cha kifo....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom