Unajua kusoma kweli wewe!? Waandamanaji wanataka mswaada wote uondolewe na si kufanyiwa marekebisho. Mapendekezo Ya kuufanyia marekebisho yalishafanyika mwanzo tu wa maandamano hayo. Waandamanaji hawautaki mswada wote.. Na alichokisema ruto kwenye hotuba yake Ya jtano tarehe 26 June anataka...
Kulingana na katiba Ya Kenya, rais hana mamlaka Ya kukataa maamuzi Ya bunge. Mswaada umeshapitishwa na bunge Rais ana option mbili tu. Ya kwanza anaweza kuurudisha bungeni Kwa ajili Ya marekebisho machache na si kuufuta.. Pili ni kuusaini au aache. Kwa mujibu wa katiba Ya Kenya Rais hata...
Binafsi kitu cha kwanza ningeimarisha Nidhamu Kazini na kuongeza uwajibikaji Kwa kuweka sheria kali za kuwezesha hayo. Baada Ya Nidhamu ningeongeza budget Ya wizara Kwa kumshauri Rais kuondoa budget Ya ununuzi wa silaha za kivita Kwa miaka 10. Ningemshauri Rais pia kuondoa kabisa pesa...
😂😂😂 ulivyoongea Kwa utulivu yaani km kitu cha maana!! Na ukute wewe kwenye familia ndiyo think tank.. Kumbe ni takataka kabisaa! Kiwango kizuri cha mtu kufikiri vizuri ni pamoja na uwezo wake wa kudhibiti kila kitu kinacho pora haki yake! Halafu unajisifu ulipitia chuo na chuo hakijakusaidia...
Huyo Hana Hela ana majukumu mengi na Mshahara hautoshi.. Vijana hawa wanatoka familia duni sana.. Inawezekana kabisa hata yeye anaumizwa na kodi yako Lkn anashindwa kupata pesa ya kukulipa.
Inawezekana Mshahara wenyewe umebaki kidogo Labda alikupa ili kukarabati kibanda cha wazazi nk.. Muonee...
Sema hapo pia umeongeza jambo Muhimu.. Hii ya kubariki viongozi nayo inabidi iondoke.. Hivi vitu Ndo vinawafanya wajione wao ni special.. Nakubaliana na ww hata Hayo ya kubariki viongozi yaondolewe. Tuombee na kubariki taifa peke yake.
Sasa Mbona wananchi tunatamani ipinduliwe!? Yaani kikundi cha kijeshi kikijitokeza na kupindua nchi, wananchi wote watakuwa nyuma ya hicho kikundi. Itakuwa sherehe mpaka ikulu.
Amani kwenu Members wote.
Wimbo wetu wa taifa wakati unatungwa ulizingatia zaidi masilahi ya kisiasa hasa kutokana na Msaada wetu Kwa nchi zingine ambazo zilikuwa hazijapata uhuru.
Ile sehemu tunayoimba Mungu ibariki Africa, tulizingatia zaidi kuimarisha uhusiano wetu na mataifa mengine. Na...
Hakuna ugumu wowote na hakuna mtu anazuia watu kuwa waumini wa dhehebu lolote. Tunachotaka serikali ifanye ni kudhibiti utapeli. Tunaitaka serikali iwadhibiti hao mitume kujinufaisha Kupitia Hao waumini wao. Serikali iweke ukomo wa matoleo na hata km mtumishi anataka kujenga Kanisa asichangishe...
Wanajamvi
Salaam,
Nchi yetu haina Dini na kila mtu ana uhuru wa kuabudu dini yoyote kama tu havunji sheria. Yaani Kwa Tanzania ukisajili taasisi ya dini, hata ukiwalisha waumini wako mijusi hakuna shida Kwa sababu ni uhuru wao.
Ukiangalia nchi yetu Kwa sasa ina utitiri wa Makanisa ya kiroho...
Hizi ni threads zinazothitisha kwamba wanaume wanazidi kupungua. Hivi ushauri tutakaokupa hapa Una uhakika na yeye atauchukua km ulivyouchukua wewe!?? Halafu unavyolalamika utadhani kwamba ulipozaliwa tu ulikabidhiwa huyo Malaya, mwanamke ulimkuta siyo bikra, unafikiri hiyo bikira ilitoka akiwa...
Mnashindwa hata kufanya Hivi tu. Huu mkeka ulikuwa wa laki 3 na 84. Ikaja cash out hiyo Kwa stake ya 500 chap nikaitoa.. Na zilikuwa zimebaki mechi 3 ikachana moja Lkn me nilishachukua changu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.