Recent content by Magnificaaaal

  1. Magnificaaaal

    TCRA imepokea orodha ya nyimbo 15 zisizo na maadili kutoka BASATA na kuzifungia

    Tanzania ya VIWANDA ooh sir God Njoo Uone TANZANIA ya VIBANDA ... Sio Maneno yangu ni mistari ya Unju a.k.a nikkimbishi... Waambie inaanza Tamaduni kisha ndo inafuata BASATA..
  2. Magnificaaaal

    RIPOTI: Alikiba kufunga ndoa Ijumaa hii na mrembo wa Kenya

    Jamaa naye siku hizi kawa mtu wa kiki mara apake nywele rangi ...
  3. Magnificaaaal

    Zamaradi Mketema awa mtangazaji wa kwanza kuingia Wasafi TV/Radio

    Wabongo Wanatamani kweli wenzao wasifanikiwa ili wawe mafukara kama waoo.....
  4. Magnificaaaal

    Zitto Kabwe: Mijadala imekuwa gharama za mazishi, jamii yetu inasahaulishwa ukatili uliofanywa na Polisi

    Yaani hata hapa bado kuna vilaza wameng'ang'ania BUDGET...
  5. Magnificaaaal

    Waliopata nafasi kwenda JWTZ mwaka huu washaanza kozi?

    Hahahaa hao hawakosekanii... bila m2 kutoroka kozi itakuwa ya ktoto
  6. Magnificaaaal

    Ubuyu wa Diamond, Ruge na Kusaga

    Huyo Manzi kashawashika akili wengi.. story zake nyingi mpaka atumiwe ila za kutunga yeye.. huoni hata ukweli upo wapi.. &#/ na inshort ya kwamba mondi atapotea hlo asahau..
  7. Magnificaaaal

    Mara paa demu unayetaka kumuoa anaingia kwenye bifu na mange kimambi

    Ninja una mawazo ya KITOTO kupitilizaaaa...
  8. Magnificaaaal

    WCB Wasafi wamebaki wakiwa..Tatizo ni nini?

    Kwanza DIAMOND ni Famous kuliko hata hzo Media zenyewee...
  9. Magnificaaaal

    Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

    Bora ungeandika wa2 watume picha za Gentlemen ila hii kusema sura Nzuri kuna wa2 wanakerekaaaa kama wameshikwa Makaliooo
  10. Magnificaaaal

    Tegeta: Wanajeshi wanapiga raia baada ya mwenzao kushambuliwa na wananchi

    Muda mwingine ni kuheshimu hzo taasisi tuu.... ila vnginevyo..
  11. Magnificaaaal

    Tanzia: Team Diamond, Nevvo Msafi na Platnumzmond wafariki dunia

    Hakuna atakae kuelewaa.. Wametanguliza chuki kama chuchu za saa6..
Back
Top Bottom