Zamaradi Mketema awa mtangazaji wa kwanza kuingia Wasafi TV/Radio

Kuwa wa kwanza kwenye mambo ya kidunia sio ishu kubwa sana ... mana bado kuna maisha baada ya dunia ...Mkumbushe afanye mambo yampendezayo mungu ili awe wa kwanza kwenda mbinguni kama alivyo kuwa binti wa kwanza kwenda wasafi
Vipi wewe upo mbinguni nini sasa hivi?
 
Wamempiga Ruge panapouma.

Ila na hii gear waliyoingia nayo wakifail halafu clouds ikaendelea kama kawaida wataaibika sana na itakuwa anguko la mziki wa wasafi,the have to make sure hawachemki
naam kabisa ..yaani wahakikishe wanasimama haswaa wasikubali kushindwa ..ijapokuwa jina lao linatumika kwaajilibya manufaa ya watu wengine lakini biashara itakapo yumba watu watakao athirika zaidi niwao maana jina lao litakiwa limechafuka kibiashara
 
So What? Hivi angeenda BBC ingekuwaje? Tuacheni Umbwigira / Ushamba na ndiyo ' Sumu ' kubwa inayotutesa na kutumaliza Watanzania.
Pole kwa kuwa na roho ya kwanini....watu kabila yako upatwa na uchungu wa kujifungua wakati hawana mimba
 
Zamaradi asijivune leo watoto bado wadogo wakikua atajuta kuwazaa. Watamuuliza kwa nini ulimnyanyasa baba yetu. Time will tell..
Huku kukurupuka bila kuwaza kuna madhara yake mbele ya safari....
Akili hii mbona kubwa sana anaweza kuwa nayo kweli hii ya kuwaza watoto ilikuwa kwa wazazi wa zamani kwa sasa ni kujiwaza binafsi
 
redio n tv sio tatzo kufngua.. ishu n ku dumu kweny ushindan w ubora w vipndi tu.
Na waliodum hawakuwa na "presenter search"hope watakuwa na waendeshaji wazuri zaidi na wenye weledi ikibidi hata kutoka ughaibuni watakaoijua hii biashara au wamnunue Tido
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom