Recent content by magic man

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya pumba huko uliko

    Bei ya gunia ni 19000 debe 4000,4500 dar
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi hapa mjini Mahusiano yao ni yanazingatia pesa kwanza?

    Nimeamua kubaki single kwa kuwa nimeshajua Hali ilivyo najitafuta kwanza then nitarudi
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu rahisi zilizofanya nikaacha kuwaoa hawa wadada wazuri kwa muonekano

    Kataa ndoa
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi amenipendea hela zangu au yupo kwangu kwaajili ya manufaa yake binafsi haswa kiuchumi

    Duuh wanaume wanaoomba pesa wapo aibu kweli??
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuachwa kusikieni tu!

    Artist: passenger Song:let her go
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Heri ya mwaka mpya 2024 ndugu zangu wana Jf

    [emoji120]
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 2024 usimfanyie mwanamke financial favour yoyote

    Pesa zinatafutwa kiugumu kweli wanaume tujionee huruma tudhibiti mihemko yetu
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwa wanandoa

    Wanakuja mkuu
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananiletea Usuperstar

    Nitajuaje Kama anaona fahari kuolewa nami mkuu[emoji120]
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Share nasi matukio yako ya ukuaji

    Kipindi Cha utoto nilikuwa najiuliza jiko la mafuta linawashwa kwa juu ambazo ndo Kuna zile tambi zake Sasa kwanini tusiwashe kwa chini ambapo Kuna mafuta na tambi zilipoanzia labda Moto utapanda juu na kuendelea kuwaka Kama kawaida Basi siku moja nikachukua kiberiti nikafungua lile bakuli lake...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ulichoma mtaji mara ngapi mpaka kuja kutoboa kibiashara?

    Mafanikio ndani ya mda gani mkuu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la mashudu meusi ya alizeti

    Kikubwa kujua masoko ya kuuzia hayo mashudu kwa dar tembelea tandale, River side, yaani maeneo yanayosaga chakula Cha mifugo ata mimi nauza vyakula vya mifugo pia ila bado biashara ni ndogo Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Faida na hasara za biashara ya mashine ya kusaga/kukoboa mahindi

    Chagua mahindi mazuri sio Yale ambayo yamebunguliwa Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom